uungwana classic
JF-Expert Member
- Jun 9, 2014
- 2,324
- 2,085
Hili tunda nlinunuaga nkala nlishindwa kumaliza kipande kimoja nkalitupa ila sijui nimelizoea vipi bhana leo hii mawili hayawezi nitoshaJuzi hapa nilimlazimisha rafiki yangu kula parachichi. Alikuwa hajawahi kula kabla ya hapo. Sasa kila nikimshawishi alikuwa hataki. Nikakata kipande kidogo hivi cha pembe tatu.
Nikamwambia kula hata hucbi kidogo huku usilifikirie, jamaa akala.
Aiseeh. Unajua alisemaje
"Kuna kipande chengine hapo uniongeze".
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app