Siku ya Kwanza kumiliki SUV sikulala!

Siku ya Kwanza kumiliki SUV sikulala!

😅😅
Wewe unakatisha tamaa kabisa, kwahy umuhinu wa ku-save haupo kwaajili ya ndoto Fulani?
Huyo mtu anayesema hujui dili zake ndio nilikuwa namshangaa! Ni upuuzi kuweka hela yote hio kwa miaka zaidi ya 10 eti kisa kununua gari ambayo stii ni outdated!

Walau hio pesa angenunua gari ya 2015 ningemuona ana akili!
 
Lakini si ametizima ndoto yake? Kwasababu ndoto ya mtu kuipangia ni kazi!
Kwamba katimizaje, hicho ni kitu kingine!
 
Ndugu yangu umejaa ghilba ya dhahiri. Pole
Sasa nilichosema hapo uongo uko wapi au haujui hayo magari yakipark mda mrefu yana lala na hujui kwamba gharama zake ziko juu kwenye spare parts utafananisha na Toyota Shekh, hiyo gari inaumeme sana sensor kibao suspension tu 4M labda zimeshuka now.

Tuambiane ukweli kama vijana itatusaidia zaidi kuliko kuchukulia kila jambo ni fitna na wivu
 
Nimejifunza ku-update ndoto zangu..Ndoto za miaka 11 nyuma yawezekana zisiwe na mashiko sasa hivi na zikaleta hasara kuliko faida !

Hongera na Pole Mdau ! Kikubwa fanya na kukodisha kwenye functions pia kupunguza maumivu..
 
Back
Top Bottom