Siku ya kwanza kuona Maiti

Siku ya kwanza kuona Maiti

Hakika kila nafsi itaonja mauti japo kifo hakizoeleki kabisa ndo maana huwa tunaumia sana tukifiwa.

Kuna siku niliona maiti ya mmama aliegongwa na gari nikiwa la saba aisee ile picha haijawahi potea kichwani mwangu ubaya alikuwa bado amefungua macho[emoji24][emoji24][emoji24] Baada ya lile tukio alifariki rafiki yangu hakika sikuweza kwenda kuaga nilishindwa kabisa! Mungu awalaze mahali pema peponi.

Je siku ya kwanza kuona maiti ilikuwaje?? Hii memory ni mimi tu nashindwa kuifuta au?
Nadhani kwenye hili kila mtu analichukulia kinamna yake, nimeona maiti kadhaa, nimeshiriki kuosha maiti lakini huwa nikitoka hapo nayaacha huko huko.
 
Nilikua Form 2 au 3 kama sikosei.Coaster ilipata ajali na kuua watu wote.Girlfriend wangu alikua anaelekea huko Coaster ilipokua inaenda maana ilikua likizo.Tukasikia kuna ajali mbaya.
Nilienda hospital ya mkoa na tukaruhusiwa kuingia kuangalia miili tutakayoweza itambua(iliharibika vibaya),bahati nzuri hakuwepo.nilipotoka nilianza kutapika mfululizo for 2 days.
Picha ile ilinipa tabu for years.
 
Aisee ilikuwa hatari[emoji24][emoji24][emoji24] Duuh pole sana mkuu. Girlfriend wako alipanda gari nyingine??
 
Me huwa sisogei kabisa. Mbali na mzee wangu niliyemshuhudia.
Huwa sisogei kabisa mahali ilipo.
 
The first time.
Asubuhi nilikua naenda kufanya mtihani wa Moko nadhani form 4, kufika maeneo ya relini nikaona watu wengi barabarani nikaelekea huko nami nishuhudie...Nikachungulia kwenye kundi la watu nikaona mtu kalala uchi wamemfunika kidogo mbele.. looh nilisikia tumbo linakoroga, kizunguzungu kikafuata na kuanza kutetemeka nikatoka yake maeneo. Hadi nafika shule nilikua kams mgonjwa afu siku hiyo tulikua twafanya practical ya Biology upande wa topic ya Movement mamifupa kama yote..

Second time.
Mwalimu mkuu wetu kagongwa na gari kafariki tukaenda kuaga maiti..Kidogo nianguke pale kwa kuzungu zungu..ilikua inatoa jasho afu sura imevimba. Siku nzima nilishinda naumwa..nilikua naogopa kukaa chumbani mwenyewe karibu mwezi mzima.
Siagi tena maiti mimi labda awe ndugu wa damu.

Nina roho nyepesi mno ata mgonjwa nikimuona nasikia vibaya mno
 
Ni hatari mkuu...Ubaya ile sura inakuwa kama inakujia kila muda hasa usiku
 
Aisee ilikuwa hatari[emoji24][emoji24][emoji24] Duuh pole sana mkuu. Girlfriend wako alipanda gari nyingine??
Alipanda gari tofauti.Yaan kutoka home hadi hospital ilikua mbali kama kutoka Mtwara mpaka Musoma!
Kufika Mochwari msururu mreeefu unasubiri kuingia.kukaribia mlangoni kwanza nikakutana na vipande vya mifupa,mawazo yote kwa baby,kuingia nikaona maiti zingine pembeni kichwa kiko nusu,mkono peke yangu,au mfupa wa ugoko...Ile harufu ya damu was suffocating me but had to make sure my baby wasn’t among them.It was really gross aisee.
 
Wakati mgumu sana[emoji24][emoji24][emoji24] Watu wa mochwari wanaona mengi
 
Sikuwa napenda kuangalia maiti hata za ndugu nilikuwaga siendi kuaga kabisa nikaja kuona ya mzee ndo the first time na bibi mara ya 2 basi.
 
Mimi siogopi hata. Nyumba yetu ilikuwa karibu na mochwari. Kila mara maiti zinaingia na kutoka naziona. Hadi zingine zinapasuliwa nashuhudia.
 
Ndio hivyo mkuu. Kulikuwa na mti wa mzambarau jirani kabisa na mochwari ulikuwa unatoa matunda makubwa hatari. Basi mambo ya kitoto hatujali wala nini tunajichana tu.
Duh bilashaka huo mti ulikuwa unarutubishwa kiaina fulani.
 
Back
Top Bottom