zegamba180
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 820
- 541
Ahaaaaa aaaaa Joshua_ok umenikumbusha 4m 2 niliingia mitini. Ahaaaaduuh kwa kweli unastahili pongezi mimi mbona ningetoka NDUKI tu kwani Seminar presentation ilikuwa na marks ngapi? sidhani kama zinazidi marks 10