Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitu cha Mlambiti eeeeh mkuu..Siku moja tupo kwenye seminar ya koz moja inaitwa rural agricultural economy maarufu kama YELLOW BOOK kwa waliosoma SUA wataelewa, basi picha moja ilikua imebandikwa ukutani ikapulizwa upepo ikadondoka chini jamaa kule mbele akiwa na maiki alisema "what is that, ooh the picture drop down without becouse" basi tulicheka sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mmoja tukiwa form one wakati huo kulikuwa na 'no English no service' rule, siku hiyo jamaa alisahau daftari, mwalimu kafika kwa mwanafunzi aliyekuwa mbele ya huyo jamaa, akaulizwa where is your exercise book akajibu I forgot it home, sasa ilipofika za much yake hakujua yule jamaa wa mbele alisemaje, alipoulizwa akasema I dolilo. Class nzima ilipasukiwa na kicheko
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Enzi hizo Makongo high school pale, kulikuwa na kibao Speak English or French. Sasa ukifika pale getini unakutana na Ma-mp wanoko kishenzi,hapo ushachelewa,hakuna namna lazima utafute namna ya kujinasua vinginevyo kichura chura,kufyeka vitakuwa ni sehemu ya masomo yako siku hiyo,basi wajanja wakagundua njia,wala mamp walikuwa weupe,hawana shule,wakikukomalia unafunguka sentensi yoyote ile ya kiingereza na ujanja wao ulikuwa unaishia hapo. Basi kuna siku wakamdaka jamaa yetu kipindi hiko form njuka unajua definition na importance za masomo, MP :Aroo kwanini umechelewa? JAMAA : Transportation is a process of moving goods and services from one place to another MP : Hay kwenda ndani na kibao juu,hiyo ndio ilikuwa salama yake na hapo akawa katufungulia njia pale getini,ukiulizwa we unadefine chochote kile mpaka kuna denti alijisahau akatoa definition ya kemia bahati mbaya pembeni kuikuwa na mwalimu wa zamu,kilichomkuta yule dogo hawezi kusahau maisha yake yote [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimechekaaaaaaa.Is the processes.....
Pia Kuna ile ya Mambo ya JKT Si unajua makuruta wengi weupeeee
Basi adhabu ya kufyatua matofali 20,20
Basi form Six fresh from school Ngeli ipoo ipoo.Akaona Si vibaya afyatue mengine 5 in case of anything.Yakawa pembeni.
Akaja Afande kukagua Mara anayaona Yale matofali 5 pembeni.Kwa hasira sana(you can Imagine)
HUYU NI NANI KAFYATUA MATOFALI KIDOGO?????
Mhusika: Ni ya EXTRA!
KWA HASIRA KALI
Ebu kaliiteni RIEXTRA RIJE HAPA!!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimechekaaaaaaa.Is the processes.....
Pia Kuna ile ya Mambo ya JKT Si unajua makuruta wengi weupeeee
Basi adhabu ya kufyatua matofali 20,20
Basi form Six fresh from school Ngeli ipoo ipoo.Akaona Si vibaya afyatue mengine 5 in case of anything.Yakawa pembeni.
Akaja Afande kukagua Mara anayaona Yale matofali 5 pembeni.Kwa hasira sana(you can Imagine)
HUYU NI NANI KAFYATUA MATOFALI KIDOGO?????
Mhusika: Ni ya EXTRA!
KWA HASIRA KALI
Ebu kaliiteni RIEXTRA RIJE HAPA!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Presentation inasaidia kujiamin mbele wa wengine hata ukiwa team leader lazima ytakuwa unapresent wafanyakaz wako au hata watu wengine presentation inatujenga kwrnye mazingira ya kazi ili kukabiliana na hali ya waswas,expect a certain amount of stage fright wasws kwa mtu yoyote ni lazma hasa mwazon mwa uwasilishaji please dont afraid its matter of time hofu ni ya muda tu pia unapoongea kiingereza ili uwe unapangalia maneno unapaswa kuongea kwa ktuo sio unaongea kama mtu asie jielewa hakiksha kila sauti yako kila neno unalotamka linasikika na lenye kituo for example,Kwa hiyo hizo maksi 10 ungesema 'potelea mbali, acha nizikose tu' kuliko kuadhirika mbele ya watu?
Mnanichekesha kweli leo!
Afande Miraji( Rest in peace Afande)Kuna jamaa wakati nipo sekondari alienda toilet sasa wakati anarudi akamkuta mwalimu ameshaingia class, mwalimu akamuuliza kwa kiingereza "where were you?" Na hapo ilitakiwa ujibu kwa kiingereza ndio uingie class, jamaa kwa kujiamini kabisa akajibu "I am toilet" ee bwana ee kidogo watu wavunje viti kwa kucheka ilibidi tu mwalimu amruhusu kuingia class.
Sent using Jamii Forums mobile app
Allah amfanyie wepesi kaburi lake liwe miongoni mwa bustan za pepon. Niliacha kukaa mstarini siku marehem miraji alipomkwangua ndevu kijana aliekaa mbele yangu kwa kutumia jiwe sitaisahau ile siku cz na mimi ndevu nilikuwa nazo,nikawa najiuliza huyu kiumbe akimalizana na huyu bwana si nafuata mimi,unaweza ukahisi nilikuwa ktk hali ganiAfande Miraji( Rest in peace Afande)
Sasa kati kati ya wiki Kipingu alikuwa Lazima aje assemble Na Ni English tu!
Basi maafande wanakuwepo but wapoleeee Si Unajua Ung'eng'e not reachable????
Afande miraji Sasa hataki kukubariii
' Kipingu hapo keshatoka
Students!!!
Turn left, turn right!!.
Eeeh eeeh Why are you Laughing???
Why are you Laughing like BANANA??
Sent using Jamii Forums mobile app
Afande Miraji ( Aisee! Waliopitia era yake! You can not forget Afande Miraji at easy!Allah amfanyie wepesi kaburi lake liwe miongoni mwa bustan za pepon. Niliacha kukaa mstarini siku marehem miraji alipomkwangua ndevu kijana aliekaa mbele yangu kwa kutumia jiwe sitaisahau ile siku cz na mimi ndevu nilikuwa nazo,nikawa najiuliza huyu kiumbe akimalizana na huyu bwana si nafuata mimi,unaweza ukahisi nilikuwa ktk hali gani
Pia namkumbuka Babu Chacha.( Afande Chacha)(R.I.P)Allah amfanyie wepesi kaburi lake liwe miongoni mwa bustan za pepon. Niliacha kukaa mstarini siku marehem miraji alipomkwangua ndevu kijana aliekaa mbele yangu kwa kutumia jiwe sitaisahau ile siku cz na mimi ndevu nilikuwa nazo,nikawa najiuliza huyu kiumbe akimalizana na huyu bwana si nafuata mimi,unaweza ukahisi nilikuwa ktk hali gani
Afande Miraji ( Aisee! Waliopitia era yake! You can not forget Afande Miraji at easy!
I still remember( but somehow alikuwa binadamu Na Huruma Na vitambulisho vyake)
OK.
Sasa kuna siku alimchapa mwanafunzi akapassout
Akasema Leteni Maji akaletewa kwenye ndoo akamwagiwa ile kuamkaa tu akamchapa tena( hivi wanajeshi wana nini?)
Sent using Jamii Forums mobile app
Afande Miraji ( Aisee! Waliopitia era yake! You can not forget Afande Miraji at easy!
I still remember( but somehow alikuwa binadamu Na Huruma Na vitambulisho vyake)
OK.
Sasa kuna siku alimchapa mwanafunzi akapassout
Akasema Leteni Maji akaletewa kwenye ndoo akamwagiwa ile kuamkaa tu akamchapa tena( hivi wanajeshi wana nini?)
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaha aisee Afande Miraji hasauliki kabisa RIP, siku ya orientation form V wageni wa makongo walikuwa wanapata sana,kuna siku ilipingwa kwata 2005 wadada wakaanguka na kuzimia,mmoja wapo alipozinduka akasema nakufa,marehem miraji akamwambia kufaa,nani alikwambia uje makongoAfande Miraji ( Aisee! Waliopitia era yake! You can not forget Afande Miraji at easy!
I still remember( but somehow alikuwa binadamu Na Huruma Na vitambulisho vyake)
OK.
Sasa kuna siku alimchapa mwanafunzi akapassout
Akasema Leteni Maji akaletewa kwenye ndoo akamwagiwa ile kuamkaa tu akamchapa tena( hivi wanajeshi wana nini?)
Sent using Jamii Forums mobile app