Siku ya Kwanza Kuongea Kiingereza mbele ya Kadamnasi kidogo nizimie

Siku ya Kwanza Kuongea Kiingereza mbele ya Kadamnasi kidogo nizimie

Pia namkumbuka Babu Chacha.( Afande Chacha)(R.I.P)
Basi bwana alikuwa Na mambo Fulani hivi sijui masihara yaliyozidi but kwa wengi wetu yalikuwa yanakera
Imagine!
Eti akimkuta Binti salimia yake Ni kubusu( Mwaa mwaaa mwaa au kushika chuchu kwa mbali)
Ukiwa mgeni huwezi Amini kama Babu huyu Afande tena mwanajeshi he could do that to anyone.
Basi bwana Siku 1 isiyo Na jina Form 5 mmoja Binti mrembooo innocent akiwa anakatisha viunga vya skuli Si akakutana naye ile Paaa! Si akamgusa nyonyoo eeeh Hakukubari akaenda semelea kwa Mama( I think hakuwa anatoka mbali sana( Kawe)
Eeeh Mama Akaja Na kibwebwe) amekaa reception ili aingie kwenye uongozi Aelezeee mkasa Na hatua za Kinidhamu zichukuliwee)
Jamani Bila kujua akiwa amekaa kwenye kiti Si Akatokea Babu Chacha Mama Naye akashikwa Chuchu!!!
Si kwa mshangao au kwa hasira alipoambiwa Ndo Mtuhumiwa Na ikumbukwe alikuwa Na cheo maafande wengine wanampigia Salute
Mama Aliondoka Bila kuaga
Waliosoma Makongo enzi hizo Lazima wanakumbuka)

Sent using Jamii Forums mobile app
chacha naye ni marehem!innalilah wainna illah rajiun...sikupata taarifa za kifo chake kabla. Babu malovee aisee,those days,ulimaliza mwaka gani pale?
 
IMG-20180131-WA0001.jpg
 
Nakumbuka miaka ya nyuma nilishawahi kwenda Interview ya Bank Teller CRDB pale Azikiwe daah sijui ndo kiingereza au uoga maana nilikuwa nikiulizwa swali najibu kwa sauti kubwa kama napiga ADHANA MSIKITINI (Swalaa Swalaa saa 11 alfajiri) mpaka yule HR akaniambia ndugu hebu RELAX hiii sio vita!! si unajua tena umemaliza shule umekaa mtaani kazi huna ghafla uaitwa interview wee nilikremu vitu balaa kufika tu mi natapika hata nisivyoulizwa
Hahahah, kulaleki walahi...
 
Nakumbuka miaka ya nyuma nilishawahi kwenda Interview ya Bank Teller CRDB pale Azikiwe daah sijui ndo kiingereza au uoga maana nilikuwa nikiulizwa swali najibu kwa sauti kubwa kama napiga ADHANA MSIKITINI (Swalaa Swalaa saa 11 alfajiri) mpaka yule HR akaniambia ndugu hebu RELAX hiii sio vita!! si unajua tena umemaliza shule umekaa mtaani kazi huna ghafla uaitwa interview wee nilikremu vitu balaa kufika tu mi natapika hata nisivyoulizwa
Ulipata hiyo kazi sasa? Au ndo ulitoka kapa? Hakika kiingereza si mchezo
 
hata vitabu vingi vinavyotumika ktk shule za international hasa primary za hapa Tanzania lakhi hutumika kuonesha a hundred thousands
lakini "laki" ni kiingereza, sema kinatumika sana india, yuko sawa.
 
Kuna Ma-lecturer (Dr's & Professor's) vyuo vikuu Tanzania, hususani UDSM kuongea kiingereza ni ishu. Nachelea kuwataja kwa majina na Idara na masomo ( kwa Course Code) wanazofundisha hapo UDSM-Main Campus. Lecture yote anaongea KISWAHILI tu unajiuliza alipataje PhD huyu? je akienda kwenye International Academic Conferences huwa anaongeaje? Kaazi kweli kweli. Lugha watu hujifunza lugha. Watanzania tusiwe wavivu kujifunza KIINGEREZA
ungewataja inhesaidia kubaini kuwa huwasingizii. pia kuwasilisha mada no rahisi kuliko kufundisha. (siwatetei ila isije ukawaonea hata wale wanaosaidia wanafunzi wasiosikia kingereza kikitamkwa kwa haraka ktk umbali Fulani
 
slang imeenyooka hahaa
Mi nakumbuka siku nimeenda interview ya kwanza pale CRDB azikiwe mwaka 2003 nilikuwa natetemeka huku sauti (KUPAYUKA kama vile napiga Adhana ya alfajiri msikitini) mpaka Human resource officer/manager akaniambia Relax ndugu hii si vita!

Yaani nikikumbukia hii interview nakua mdogo kama piriton. Sasa sijaelewa enzi zile ni kwamba ulimi ulikuwa mzito au nili-panic tu na mambo ya interview daah!

Aprili, 2016
Wadau baada ya pale nilifanya jitihada binafsi ikiwemo kusoma sana magazeti ya kiingereza (Daily News, vitabu na kuangalia news za kiingereza tu hasa BBC, CNN na Al-jazeera) sasa natema YAI kwa kiwango cha kujiridhisha, yaani naweza unganisha sentensi nikaeleweka na mwingereza! inshort, hata nikihojiwa na TV za kimataifa sihitaji sub-title kwenye screen. Slaying imenyooka!
 
Back
Top Bottom