Pia namkumbuka Babu Chacha.( Afande Chacha)(R.I.P)
Basi bwana alikuwa Na mambo Fulani hivi sijui masihara yaliyozidi but kwa wengi wetu yalikuwa yanakera
Imagine!
Eti akimkuta Binti salimia yake Ni kubusu( Mwaa mwaaa mwaa au kushika chuchu kwa mbali)
Ukiwa mgeni huwezi Amini kama Babu huyu Afande tena mwanajeshi he could do that to anyone.
Basi bwana Siku 1 isiyo Na jina Form 5 mmoja Binti mrembooo innocent akiwa anakatisha viunga vya skuli Si akakutana naye ile Paaa! Si akamgusa nyonyoo eeeh Hakukubari akaenda semelea kwa Mama( I think hakuwa anatoka mbali sana( Kawe)
Eeeh Mama Akaja Na kibwebwe) amekaa reception ili aingie kwenye uongozi Aelezeee mkasa Na hatua za Kinidhamu zichukuliwee)
Jamani Bila kujua akiwa amekaa kwenye kiti Si Akatokea Babu Chacha Mama Naye akashikwa Chuchu!!!
Si kwa mshangao au kwa hasira alipoambiwa Ndo Mtuhumiwa Na ikumbukwe alikuwa Na cheo maafande wengine wanampigia Salute
Mama Aliondoka Bila kuaga
Waliosoma Makongo enzi hizo Lazima wanakumbuka)
Sent using
Jamii Forums mobile app