and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Hukujjamba?Hahahaaa......nimecheka mpaka kamkojo kamenitoka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hukujjamba?Hahahaaa......nimecheka mpaka kamkojo kamenitoka.
Hukujjamba?
duhHukujjamba?
hahahahahaha tehetehetehekingereza ukiwa unaingia sehemu kama hizo ukifika mlangoni kinakuambia "sasa bro mi nakusikilizia hapa nje"[emoji2][emoji2]..
Kuna mmoja tukiwa form one wakati huo kulikuwa na 'no English no service' rule, siku hiyo jamaa alisahau daftari, mwalimu kafika kwa mwanafunzi aliyekuwa mbele ya huyo jamaa, akaulizwa where is your exercise book akajibu I forgot it home, sasa ilipofika za much yake hakujua yule jamaa wa mbele alisemaje, alipoulizwa akasema I dolilo. Class nzima ilipasukiwa na kicheko
Nakumbuka miaka ya nyuma nilishawahi kwenda Interview ya Bank Teller CRDB pale Azikiwe daah sijui ndo kiingereza au uoga maana nilikuwa nikiulizwa swali najibu kwa sauti kubwa kama napiga ADHANA MSIKITINI (Swalaa Swalaa saa 11 alfajiri) mpaka yule HR akaniambia ndugu hebu RELAX hiii sio vita!! si unajua tena umemaliza shule umekaa mtaani kazi huna ghafla uaitwa interview wee nilikremu vitu balaa kufika tu mi natapika hata nisivyoulizwa