😂😂😂Nakumbuka miaka ya nyuma nilishawahi kwenda Interview ya Bank Teller CRDB pale Azikiwe daah sijui ndo kiingereza au uoga maana nilikuwa nikiulizwa swali najibu kwa sauti kubwa kama napiga ADHANA MSIKITINI (Swalaa Swalaa saa 11 alfajiri) mpaka yule HR akaniambia ndugu hebu RELAX hiii sio vita!! si unajua tena umemaliza shule umekaa mtaani kazi huna ghafla uaitwa interview wee nilikremu vitu balaa kufika tu mi natapika hata nisivyoulizwa
Haya Soma vituko mkuu😂😂😂😂 nimefika mkuu
Uki maliza kasome wa how I met my wife, wenyewe ni story ya kweli.😂😂😂 nimefika mkuu
Huu ndo sijaupata😂😂Uki maliza kasome wa how I met my wife, wenyewe ni story ya kweli.
Uku watu wanabalaa😂😂😂😂Haya Soma vituko mkuu😂
Sawa andaa mbavu tu😂Asante mkuu. Ngoja nisome comment moja moja 😂😂😂😂
Shemela kiingereza Cha dolido, halafu una cheka Kimbea😂Hahaaaahaah mbavu zangu mieeeeee! I dolido akimaanisha nini? Aiseeeeee nimecheka usiku huu
We mjuba kwamba wapotee🤣Mie nakumbuka form one Kantalamba,nimefika nikawa kiranja,basi nikashika zamu kuongoza assemble,tumeimba nyimbo zote,ikafika muda wa kuwatawanyisha nikasema "you may disappear" badala "you may disperse" basi ilikuwa gumzo. Ticha akaniita chemba kunielekeza umombo. Ha ha ha
We mjuba kwamba wapotee
Eeh Mzee. 😁We mjuba kwamba wapotee🤣
Kuna mmoja alipenda kusema kwa lafudhi ya kisukuma...Mie nakumbuka form one Kantalamba,nimefika nikawa kiranja,basi nikashika zamu kuongoza assemble,tumeimba nyimbo zote,ikafika muda wa kuwatawanyisha nikasema "you may disappear" badala "you may disperse" basi ilikuwa gumzo. Ticha akaniita chemba kunielekeza umombo. Ha ha ha
Three lakh ni kiingerezaNgoja namimi nikumbuke jamaa alikuwa anawasilisha proposal ya research project yake..ile anaulizwa bajeti akaropoka Three Laki....kizingu cha laki tatu kimepotea mbele ya hadhara.