Siku ya kwanza kupigwa ban ulijisikiaje?

Mkuu nimepigwa Ban ila sijajua lini mwisho wake najaribu kutazama kwenye account yangu sioni mwisho wa Ban yangu, Vipi naweza kupata kujua vipi?
 
pole sana ..Mungu aniepushe na ban ..maana nikiacha kuingia jf huwa najihisi arosto mixer uchizi
 
naona sasa mnawachokoza mods hahaaa
Hahaha! Sijatukana mtu! Ila nimemwambia tu ukweli kuwa amekuwa toggled toka jinsia aliyozaliwa na kuwekewa aliyonayo sasa! Hivyo nimenawa mikono mapema kabisa sijaanza mimi uchokozi.
 
Hahaha! Sijtukana mtu! Ila nimemwambia tu ukweli kuwa amekuwa toggled toka jinsia aliyozaliwa na kuwekewa aliyonayo sasa! Hivyo nimenawa mikono mapema kabisa sijaanza mimi uchokozi.
hahaaaa kwani wanajuaga nani kaanza uchokozi wao wanachojuaga ni kutoa ban tu kama refa anavyojua kupuliza kipyenga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…