Principal Focus
JF-Expert Member
- Jan 4, 2013
- 925
- 550
- Thread starter
- #121
Kuwa mtiiSiku nikipigwa ban naweza kuumwa. Utakua mwanzo wa kuwa na ID nyingine nitashindwa kuvumilia. Nitapotezaje muda wa kwenye foleni nikila ban
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa mtiiSiku nikipigwa ban naweza kuumwa. Utakua mwanzo wa kuwa na ID nyingine nitashindwa kuvumilia. Nitapotezaje muda wa kwenye foleni nikila ban
Ahsante.! But ni Kawahida tuu.. Hii yenyewe haina siku mingi itakula ban.Doh pole
Najitahidi sana kuwa mtii.Kuwa mtii
Basi anzisha maandamano kupinga ban... We uwe mange wa huku.T
TuTunhamia halotel wangu huku manyanyaso wakati vocha na bando hawaniwekei
Kule kwengine tupo kibao
Ila nasikia mods wanatembelea pm ukikataa unapewa ban...Najitahidi sana kuwa mtii.
they are great thinkers ujue ndo maana nataka nijiunge nao soon kama nitapata nafasiSawa.
Ila nilichokigundua humu JF sijui ni majukumu mengi au ....
Mods hawashiriki kabisa mijadala tofauti na Mods kwenye forum zingine.
Forums zingine tena kubwa kuliko JF Mods wanapiga kazi na kujadili na watu wengine kama kawaida sio kama Mods wetu hapa wao ni kutoa ufafanuzi kidogo tu then mengine waayafanya kimya kimya.
ukikataa nini sasa? maneno mengine ni uongo tu au utumalizie kastoryIla nasikia mods wanatembelea pm ukikataa unapewa ban...
hahahahahhaa sasa nitafanyeje imekuwa kama fani jamaniIla mkuu uache umbea sio mzuri
Smart phone gani?Toka nimejiunga JF miaka mingi iliyopita sijawahi kupigwa ban kwakuwa nipo very smart.
Try me
Akili kichwani, naweza kukutusi bila wewe kujua hivyo sitatumia matusi ambayo vilaza huyatumia kisha kuishia kula ban.Smart phone gani?
Ukitaa zaidi mtafute huyo🙁😡😎😕😕😕😕😎😎😎😎😀😀😀😀😀hahahahahhaa sasa nitafanyeje imekuwa kama fani jamani
asante nimepata angalau suna
KAPEACE rafiki yangu atanimaliziaUkitaa zaidi mtafute huyo🙁😡😎😕😕😕😕😎😎😎😎😀😀😀😀😀
Toka nimejiunga JF miaka mingi iliyopita sijawahi kupigwa ban kwakuwa nipo very smart.
Try me
Eeeeh akina sudy wanakula pitia umbea pia.KAPEACE rafiki yangu atanimalizia
asante kwa hinti umenisaidia. unajua umbea nao ni kazi eeeeehhhhhhhhhhhhhhhhhh
haki vileEeeeh akina sudy wanakula pitia umbea pia.
Ngoja na mimi nigoogle nijue ni kitu gani hichoBan ndo nn?
Moja ya kitu kilichonishinda kumsifia mtu hata kama amekosea.... Hiyo kazi ya kinafki inipite mbali kabisa.... Siwezi side na uongo....haki vile
teh teh
na upate umbea unaomsifia tajiri utakula kwa raha sana hapa maana wanapenda sifa sifa
sina njaa!Basi anzisha maandamano kupinga ban... We uwe mange wa huku.