Principal Focus
JF-Expert Member
- Jan 4, 2013
- 925
- 550
- Thread starter
- #161
Mzee baba kitu unachoenda kufanya nitag ilinishuhudie picha vizurileo ndo nitakula ban mida ya saa tano usiku stay tuned tu mzee baba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee baba kitu unachoenda kufanya nitag ilinishuhudie picha vizurileo ndo nitakula ban mida ya saa tano usiku stay tuned tu mzee baba
We jifunze kutukana tu kila mtu... Pia unaweza kufanya kama alivyofanya Deo kisanduNifanyaje ili nipigwe bann?...Sijawahi
Tofauti na ban kipi kingine hukipendi humu jfTokea nimejiunga July 2016, sijawahi pata Ban na sijui ilivyo, nitajitahidi kufata sheria na masharti yote ya jf ili nisipate Ban. Sipendi kweli kupigwa ban.
Ewe mungu nisaidie, aminaaa
Eeh utadhani mbuge wa viti maalum anakula kiapo bana.Umeonaeeee
MizahaTofauti na ban kipi kingine hukipendi humu jf
Ngoja amalize kutumikia kwana BAN yake hahhahhahDah we mtukutu kweli... Tupe kisa ilikuaje mpaka ukapigwa ban
Sawa mkuu ntakutag akijibuNgoja amalize kutumikia kwana BAN yake hahhahhah
Mizaha
HahahaEeh utadhani mbuge wa viti maalum anakula kiapo bana.
Sijui nikuchokoze makusudi ule banHahaha
Sitaki ban
Moja ya watu wenye mtizamo tofauti ni wewe mkuu.Nilijisikia furaha maana nilikuwa sijawahi kuiona.
Moja ya watu wenye mtizamo tofauti ni wewe mkuu.
HahahahaSijui nikuchokoze makusudi ule ban
Hahaha..Hahahaha
Mie nkichokozwa naleft mkuu!
Uwe na alhamisi tulivu
Haya mkuu. Ila bado unapenda kupigwa ban?[emoji2]..Ni kweli kwa sababu nilikuwa nikisikia tu watu wanalalamika so nilipopigwa ban nilifurahi cuz kilikuwa kitu kipya kwangu na nilikuwa na shauku ya kukijua.
Haya mkuu. Ila bado unapenda kupigwa ban?
Haya mkuuSihitaji tena kwa sababu nimeshaijua jinsi ilivyo na inavyosisimua.