Siku ya kwanza kupigwa ban ulijisikiaje?

Siku ya kwanza kupigwa ban ulijisikiaje?

Tokea nimejiunga July 2016, sijawahi pata Ban na sijui ilivyo, nitajitahidi kufata sheria na masharti yote ya jf ili nisipate Ban. Sipendi kweli kupigwa ban.

Ewe mungu nisaidie, aminaaa
Tofauti na ban kipi kingine hukipendi humu jf
 
Nilijisikia furaha maana nilikuwa sijawahi kuiona.
 
Moja ya watu wenye mtizamo tofauti ni wewe mkuu.

[emoji2]..Ni kweli kwa sababu nilikuwa nikisikia tu watu wanalalamika so nilipopigwa ban nilifurahi cuz kilikuwa kitu kipya kwangu na nilikuwa na shauku ya kukijua.
 
Back
Top Bottom