Siku ya Kwanza kwenda kubeba Zege hostel za Magufuli. Moto Uliwaka

nilisha wahi piga kazi ya zege kitambo sana, hata kuchanganya wali nifundisha wale ma brother.

kutokana na kuji ongeza nika geuka fomen wa mchongo.
 
Hizo mishe nilipiga sana nikiwa ordinary level huko!!ujenzi wa kanisa Fulani hivi kuleee!!nili enjoy sana!yule askofu was very appreciative aiseh!na tulikua hatulipwi just for heaven sake!!
Ulitoa sadaka yako kujenga nyumba ya Mungu, it is worth it.
 
Jamaa yako hakukutendea haki angekuunganishia kwenye section alikokuwa yeye nahisi palikuwa na ka unafuu frani. Ila hongera wengine wangechomoka kimnyakimnya,
 
Hujawahi hata kushika jembe, ukalima japo kwa masaa 3 mfululizo, kisha ukabebd zege?

Aaaasubutuuuuu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


Hiyo ni uongo banaa, hiyo uongooo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ