Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 7,009
- 25,406
Easy? Hicho kitoroli ni kigumu kukiongoza kuliko kubeba tofali kwa mkono,πSasa hivi wanabeba na vigari kama vitoroli very easy
Mchina kalahisisha kazi kuna viwichi vinapandisha hata ghorofa ya ngapi huko juu πSasa hivi wanabeba na vigari kama vitoroli very easy
Na Mjapani mana niliona moja la isuzuMchina kalahisisha kazi kuna viwichi vinapandisha hata ghorofa ya ngapi huko juu π
Nimecheka balaa .