pasi padinde
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 281
- 299
Hivi siku ya kwanza uliposafiri na basi,treni, ndege ilikuwaje?
Ulilala?
Tupe uzoefu wako
Ulilala?
Tupe uzoefu wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀 Baba Mchungaji hivi uliweza kusinzia kweli? 😀😀😀Tuna comment wapi sisi tulio safiri na ungo...[emoji41][emoji41]
Raha mustarehe, na mkanda tulifunga...[emoji23][emoji23][emoji23]😀😀 Baba Mchungaji hivi uliweza kusinzia kweli? 😀😀😀
😀 hatari.Raha mustarehe, na mkanda tulifunga...[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila inachanganyaga sana aiseee. waeza dhania inarudi nyuma kweli. 😂😂Siku ya kwanza kusafiri kwa gari niliona miti ikikimbia kurudi nyuma.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2][emoji1][emoji2]Mimi miti tu ndo ilijua kunizuzua hasa vile inavyorudi nyuma. 😀😀
Niligeuka kituko kila mtu alinicheka[emoji23]Ila inachanganyaga sana aiseee. waeza dhania inarudi nyuma kweli. [emoji23][emoji23]
Tupo wengi mdogo.[emoji2][emoji1][emoji2]
Nilijua hii ilinipata peke yangu..
Miss you My Dada..
😂😂😂 ila nadhani umri nao huwa ndio sababu mana sasa hivi kama mimi huwa naona sawa tu nikisafiri au ndio kwa sababu nimeshazowea 😂
Pole jamani.. Nami nipo salama kabisa..Tupo wengi mdogo.
Miss you too mdogo. Nipo Dada yako mambo tu zinakuwa mingi saa ingine. Natumai uko mzima?
Tupo wengi mdogo.
Miss you too mdogo. Nipo Dada yako mambo tu zinakuwa mingi saa ingine. Natumai uko mzima?
Ahsante sana. Mi Namshukuru Mwenyezi Mungu niko poa kabisa.Pole jamani.. Nami nipo salama kabisa..
Hofu kwako..
[emoji23][emoji23][emoji23] ila nadhani umri nao huwa ndio sababu mana sasa hivi kama mimi huwa naona sawa tu nikisafiri au ndio kwa sababu nimeshazowea [emoji23]
Hahahahaaa. LolMimi sikulala kabisa nilikuwa naelekea DaresSalaam yaani nililala saa kumi na mbili jioni saa mbili nimeamka usiku na sikulala kabisa mpaka alfajiri. Alafu nilijua DaresSalaam udongo ni tofauti na kwetu kumbe yaani niliumia kuona watu maskini kuliko hata nilikotoka .
Alafu nilipoona gari linakimbia oh miti inarudi nyuma nikaanza kutapika balaaa.
Umenikumbusha mbali mie kipindi ndio nakuja Daslam nilipata sana shida na zile taa za pembezoni mwa barabara kwa jinsi zinavyowaka mana nilikotoka huko hazikuwepo.Mimi sikulala kabisa nilikuwa naelekea DaresSalaam yaani nililala saa kumi na mbili jioni saa mbili nimeamka usiku na sikulala kabisa mpaka alfajiri. Alafu nilijua DaresSalaam udongo ni tofauti na kwetu kumbe yaani niliumia kuona watu maskini kuliko hata nilikotoka .
Alafu nilipoona gari linakimbia oh miti inarudi nyuma nikaanza kutapika balaaa.