puker
JF-Expert Member
- Nov 22, 2018
- 1,001
- 2,010
Habari za muda Wana JF. Niende Moja kwa Moja kwenye mada, Leo nimeamka nikiwa mchovu sana +hang over ya mapombe ya Jana tulivyofungwa na wale waarabu.
Siku na mood kabisa ya kufanya kazi... kinyonge sana, mida ya saa Tano hv... nilikuwa tayari, nimekwisha jiandaa naelekea nikapande daladala niende mishe.
Maana ka toy kangu kameharibika na Sina hela ya kukatengeneza, nikiwa njian nikapata lift na jamaa mmoja tunapigianaga honi na kuitana jirani.
Sasa wakati nimeingia kwenye gari nikamkuta jamaa anaongea na simu dizain kama Kuna mtu anahutaji kitu kwa haraka sana na hajui atakupata wapi.
Baada ya maongezi marefu kidogo.... nikajua jamaa wa upande wa pili, anahutaji paka mdogo asiezidi miezi mitatu awe mweupe na awe dume.
Baada ya jamaa kukata simu akaanza kunishirikisha, kuhusu hitaji la jamaa. Na jamaa Yupo vizuri na anataka ananue kwa gharama yoyote kama ataimudu.
Sasa Mimi pale kwangu Kuna paka aliamiaga Wala sijui alikotokea Kila nikimfukuza asubuhi namkuta mlangoni. Nikafanya kuwa mwanafamilia, mwezi October SI kaka jifungua watoto wa tatu, aisee alianza kuwa na tabia za ajabu, jeuri anaparua makochi yangu mpaka yanaharibika Kila siku nawaza nikawarupe sehemu.
Anyways jamaa nikamwambia huyo paka anaemtafuta Mimi ninae, ila atafika bei, maana Huwa nawatunza vizuri, jamaa akauliza kiasi Gani unauza, nikamwambia 200k
Tukarudi kwa muhisika tukashushiana mpaka 150k finally nimekauza bhana, jamaa nikampooza 50k Mimi nikazuia 100k ila mpaka sasa hv siamini kama yule paka ameweza kunipa hela kilahisi hivyo.
Nipo hapa nakula Kitimoto na tubia twangu kujipongeza kwa malezi Bora ya paka