Siku ya leo muda huu Utopolo wangekuwa na huzuni

Siku ya leo muda huu Utopolo wangekuwa na huzuni

rodrick alexander

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2012
Posts
16,784
Reaction score
23,312
Ni kama mechi isingeairishwa muda huu utopolo wangekuwa kimya wamechanganyikiwa na kipigo ambacho wangepata hakuna cha calinyo wala mwamnyeto wangekuja kuibuka baada ya wiki mbili na sababu kibao ila tunawasubiri November 7
 
Hahahah, Wamepoteza confidence kabisa....hata hapa watajitokeza kwa kubip....! Wanasubiri Kaze afanye miujiza...Vipigo vipo palepale..!
 
Back
Top Bottom