Siku ya Mashoto Duniani: Wana JF wenzangu tunaotumia mkono wa kushoto tukutane hapa

Kumbe leo ni siku yetu....natamani nipate mtoto anayetumia mashoto kama mimi
 
Happy mashoto day

sent from my BlackBerry keyone using JamiiForums mobile app
 
Na mimi pia am happy to declare kuwa ni lefthander. Mada yako ni nzuri sana na iko well researched. Inathibitisha ukweli kuhusu mashoto. Hoja nyingi hapo ni sahihi kabisa. Mimi mwenyewe pale kuanzia shule hadi chuo 2nd degree Udsm nilifanya vizuri sana na zawadi/tuzo kadhaa nilipewa, na hata MBA yangu pale Udsm nilitoka na GPA ya 4.6 Sijisifu ila ni kweli sisi lefthanders tuna kitu Mungu ametupa cha ziada na ndicho ninacho mshukuru Mungu. Pengine ni ushahidi tosha wa hoja uliyoiwakilisha.Namshukuru Mungu pia kuwa sasa nipo kweye private sector nasonga mbele baada ya kuajiriwa kwa kipindi kirefu, but siku zote sikuwa nafurahia kuajiriwa, always nimekuwa napenda kujiajiri mwenyewe na ndicho ninachofanya sasa.

Aksante sana mtoa mada. I wish tungeanzisha association yetu hapa Tz tuka advance some agenda including kuwa incourage wazazi kuwalea vizuri watoto wao ambao ni lefthanders kama sisi na tukaleta impact kwa jamii inayotuzunguka
 
Kuna Baba yangu mdogo aliniambia wakati anasoma Mzazi wake alitoa order kwa Mwalimu akikutwa anatumia kushoto ni bakora tu. Anasema alizichezea sana bakora ikawa anafanya timing akimuona Mwalimu kalamu inawekwa kulia akiondoka inarudi kushoto ikawa ndo mazoea yake. Sasa hivi anaweza kuandika kwa mikono yote. Kwa wazee wa vijijini kipindi chao anasema ilikuwa ni changamoto sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M/k wetu wa mtaa ni mashoto ila sio kwa mwandiko ule yaan utafikiri katumia lula kunyoosha herufi. Hata computer anaizidi mwandiko loh
 
Count me in! happy day to all left handers.

No matter how evil money is,but being broke is not holly.
 
Sasa Barafu na Mimi wa mikono yote na miguu yote naitumia naingia ktk kundi gani sasa.?
 
.......[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapa ulikua hujaanza[emoji377] [emoji377]
[emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377] teh teh

Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…