Msafirishaji
JF-Expert Member
- May 28, 2016
- 1,803
- 2,884
Sana yani mkuu ndio najiunga JF hapa nmefurahi tena kuona umerudi
Nisaidie kum tag mkuu barafu kwenye siku yetu
Sana yani mkuu ndio najiunga JF hapa nmefurahi tena kuona umerudi
Ndiyo mkuu mimi ni mashoto tena wa ukweli ukweli haswaa!Hata wewe mkuu nmefurahi sana kweli mashoto ni watu genius sana nakumbuka sana kwenye kilimo cha maharage ya njano
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeeleweka sana mkuu huu ni kama uzi wetu unatuleta pamoja watu wa mashotoNdiyo mkuu mimi ni mashoto tena wa ukweli ukweli haswaa!
barafu kaelezea mengi na yote ni kweli tupu kwamba yaanakisi uhalisia wa matendo yetu na uwezo tulio barikiwa.
Binafsi siku zote naishi na kufanya mambo yangu kwa kujiamini na kwa ujasili mkubwa.
Siyumbishwi wala kutishwa na jambo lolote hata kama liwe gumu vipi.
Maisha yangu yote nimekuwa sio mtu wa kumtegemea binaadam yeyote.
Nakumbuka nilipo hitimu chuo, nilikaa mtaani miezi5 nikapata ajira kwenye taasisi kubwa ya kimataifa bila kushikwa mkono na mtu.
Nilidumu kwenye ajira ile kwa muda mfupi sana nikajiona siko upande sahihi, nikapiga chini mzigo na kuangalia hamsini zangu nje ya ulingo wa mkoloni.
Leo mwaka wa nane nipo kitaa sina stress sihofii chochote nasonga kivyangu.
Karibu mashoto mwenzetuNimefurahi kukutana na wenzangu.
#HappyInternationalLefthander'sDay#
Kwa maana hiyo huna takwimu za ku-support hoja yakoMashoto wengi wanakuwaga watu wakubwa duniani mfano Obama na wengineo ambao siwajui
Mkuu nawewe kumbe wetu[emoji15]Uzi wetu adhwimu huu wa msimu wacha tujumuike mashoto hoyeee