Hata wewe mkuu nmefurahi sana nmefurahi zaidi yani nikiona uzi umeanza na wewe na ni wa update basi Bila shaka huo uzi hakiharibiki kituLeo sikukuu yetu nikikumbuka changamoto ambazo nimepitia wakati natumia mkono huu.
Tupo wachache sana muda huu nacheck game ya Madrid na barca ila tupo pamojaMkuu nawewe kumbe wetu[emoji15]
uko wapi tukajipongeze?[emoji481] [emoji481]
Jamii Forums mobile app
Nabisha...Mashoto wengi wana watoto wachache, wakizidi sana wamefyatua wa 3..
Mkuu...Tupo wachache sana muda huu nacheck game ya Madrid na barca ila tupo pamoja
Then you are not leftieMimi ni shoto nikiwa naandika SMS kwenye simu tofauti na hapo ni right hand
Sent using Jamii Forums mobile app
Happy left handers day too mkuu..Happy mashoto day na mimi nimo left hand user. Happy for us
Kuchapwa wakati wa kula..[emoji23][emoji23]Leo sikukuu yetu nikikumbuka changamoto ambazo nimepitia wakati natumia mkono huu.
Wivu mkuu...Special group hao WA kibongo mumechangia nn cha maana au fashion tu
Aissee
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]Aisee ,sijawahi jua km na ss tuna siku yetu. Mashoto day.kwa upande wangu naweza nikakubalianana wanao mengi mazuri wanayoyafanya wenye mkono wa kushoto,niwatu wasiokubali kushindwa na ndio mana wanafanikiwa.naminamshukuru mungu kwa umri wangu na kipato changu ni mefanya mengi mazuri ya maendeleo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa..Uzi wetu adhwimu huu wa msimu wacha tujumuike mashoto hoyeee
Woyoooo!
Asante love..Cc Transcend
Shukrani sana mkuu tupo pamojaHata wewe mkuu nmefurahi sana nmefurahi zaidi yani nikiona uzi umeanza na wewe na ni wa update basi Bila shaka huo uzi hakiharibiki kitu
Kumbe left hander safi sana mkuu kheri ya sikukuu yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Forever leftie......Proudly to be 'MASHOTO'.