Mnh! Kama kweli vile maana mimi ni leftee na nina hao watatu tu!, lakin ngoja nikaze buti naweza ongeza inshaallah.Mashoto wengi wana watoto wachache, wakizidi sana wamefyatua wa 3..
Kila mtu na muda wake! Kama anao kazi na kupewa likizo anaweza kutumia muda huo kuandika hii nakala.Chief... Umetumia muda gani kuandika hii article[emoji119][emoji119] ndefu hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
binti yangu pia ni mashoto!Mashoto wengi tumepitia 'treatment' mbaya wakati wa utoto tukilazimishwa kutumia mkono wa kulia. Let it be known that this is diversity of creation.
Mashoto wengi wanakuwaga watu wakubwa duniani mfano Obama na wengineo ambao siwajui
hata kiimani katika ukristo mkono wa kushoto ni mkono wa utajiri na mali