Siku ya Mwananchi: Kumbe jana walifungulia geti wazi

Siku ya Mwananchi: Kumbe jana walifungulia geti wazi

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Nimesikia hii habari ikitolewa na Mtangazaji wa E-FM, Abdulrazack Maji akisema jana aliona mageti hakifunguliwa ili mashabiki waingie bure

Hii ni AIBUUUUU
 
Attachments

Kwaiyo sikuizi kama huna tiket unafunguliwa get uingie ukajaze uwanja!!!
Basi Simba mtaujaza uwanja mapema.
 
Nimesikia hii habari ikitolewa na Mtangazaji wa E-FM, Abdulrazack Maji akisema jana aliona mageti hakifunguliwa ili mashabiki waingie bure

Hii ni AIBUUUUU
Screenshot_20220807-133315.jpg
 
Kwaiyo sikuizi kama huna tiket unafunguliwa get uingie ukajaze uwanja!!!
Basi Simba mtaujaza uwanja mapema.
Sasa ww upo kwenu huko kazuramimba una shindana na waliokuwepo kiwanjani
 
Sio kubwa kivile Unaweza kujaza uwanja kwa hiyo hiyo pesa ila walichokosea Yanga hawakufanya promo kubwa
Walifanya promo mpaka na magari ya PR mitaa yakizunguka .....
 
Walifanya promo mpaka na magari ya PR mitaa yakizunguka .....
Hivi unajuaga kabla ya siku ya mwananchi kuna kuwa na amsha amsha hata kwa sisi simba ila angalia ya mwaka huu imekuaje kubali kataa Yanga hawakufanya promo ya maana kulingana na viingilio walivyoweka kama anunua jezi ya 25000 anashindwa vipi kulia kiingilio
 
Back
Top Bottom