Bulelaa
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 1,342
- 3,247
Nitakuwa na maswali haya kwenye pingamizi langu huko akhera
Mwizi wa kura hastahili jehanamu?
Je mwizi wa kodi za wanachi, hasitahili Jehanamu?
Mdanganyaifu wa wananchi kuwa ataletea maendeleo badala yake anawaletea shubiri, hasitahili jehanam?
Mwizi wa rasilimali za Tanzania kupitia ufisadi hasutahili moto wa daima?
Matukio ya watu kutekwa chini ya utawala wake na watekaji kutokamatwa, huyu hasitahili moto?
Kwa mambo mfano wa hayo na mengine, nitaanzia wapi kuwapenda CCM kwa jinsi walivyowachosha wananchi kwa kuwaibia hata hicho kidogo kilicho chao?
Nitashangaa sana ikiwa ccm watapona na kutopigwa moto wa daima huko kwa God