Siku ya Nne sasa, KdF Navy yashindwa, Joho atimkia SA kutafuta msaada wa Wazamiaji

Tatizo mnajisifu sana halafu utendaji sifuri. Hapo ndio lilipo tatizo
 
Inachekesha sana..Kenya pamoja na mdomo mkubwa kwamba wana vifaa madhubuti wanaenda kutumia macho kutafuta Gari lililotumbukia baharini?
Hivi Vifaa vya Sonar/Echo location havipo? Alshabab wakiamua kutega bomu za baharini mtafanya nini?
 
Hata Wazungu wa Sweden walishindwa. The expedition is complex and I see no African navy that would have recovered the body.
Acheni ujinga mlishindwa kuchukua hatua wakati sahihi na kusababisha kazi kuwa ngumu hao wa sweden ni janja tu yaserikali yenu kujisafisha hiyo Gari imezama sehemu fupi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…