Vitu kama hivi huna haja ya kupoteza mudda kuwaelimisha, unawaacha wairirike kama wanaopata raha ya nyeto.
Hayo maji eneo hilo ni 'zero visibility', nguvu nyingi zinatumika maana ni suala very complex, ukweli ni kwamba sisi ndio tuna jeshi bora la wanamaji ukanda huu, FACT, kitu kama hiki kingetendeka Bongo hata hawengeweza kufanya nusu ya tunachokifanya.
Hawa Watanzania wanaojisifia humu, nakumbuka mwaka jana ajali ya MV Nyerere walishindwa kuokoa manusura waliokua hawajafa, wakawateekeza kisha wakaenda kuopoa miili yao, na hata miili yenyewe hawakuopoa yoe, ikumbukwe ajali yenyewe ilikua hatua chache sana karibu na ufukweni