Siku ya tano baada ya ndoa, mume "kapigwa marufuku kushika manyonyo na kutumia kidole" wakiwa faragha

Labda mwamba Church Boy
 
mwambie ana heri ameonyeshwa msimamo na bibie mapemaaaa so alinde vyake asije sema hakuambiwa
 
Kuingiza vidole kwenye uke si vizuri tukubaliane.

Ila kunyonya matiti ndiyo romance na foreplay zenyewe. Masharti juu ya hili kwangu ni Haram kabisa.
Tatizo wanawake wanapaka makemikali mengi sana so ukinyonya "chuchu" kuna hatari ya kumeza kemikali ambazo ni hatari kwa afya labda kama maja-Do aoge na kutopaka chochote....Maana wengine akija ghetto anaenda kusuza kwa Bibi tu basi.
 
Kuingiza vidole kwenye uke si vizuri tukubaliane.

Ila kunyonya matiti ndiyo romance na foreplay zenyewe. Masharti juu ya hili kwangu ni Haram kabisa.
Mkuu siwezi itia matatizoni sehemu yangu ya siri
Lazima niikague hata kwa kupitisha vidole kwa kujiridhisha unaeza ukakuta pameota meno ukaingiza zakari yako kitacho kutokea utalia na kusaga meno



Wanawake NI Kama mavi ya ngo'mbe unaeza ukaliona gumu limekauka tia mguu ndo utajua hakuna rangi utaacha kuona
 
Unajua maana ya kulipa mahari
 
Siku zote ninamchukia mwanamke mwenye masharti ya hovyo hovyo.
Na huenda anaongea na kubenua mdomo.

Huwa tunapuuzia dalili mbaya mwanzoni kwa mapenzi mapya lkn taa nyekundu huwa tunajifanya hatuoni
 
Sasa wee nae usimtawale mwanamke kivipi tena kwani mahari kajilipia yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…