Siku ya tano leo wife kaninunia kisa nilimchana ukweli kuwa hajapendeza

Habari za leo watanganyika wenzangu?

Jumamosi iliyopita tulikuwa na mwaliko wa harusi,sasa basi my wife akaniambia nikimaliza mizunguko yangu nimpitie ofisini kwake ili twende wote home tukajiandae, well me kwenye saa 10 hivi jioni nikawa nimemaliza mizunguko yangu, nikasema ngoja nimpitie wife kama tulivyokubaliana nilivyofika akaniambia nimdrop kwanza saloon akafanye make up akaniambia hapo saloon angetumia dakika 10 tu, so me nikampeleka hapo saloon then nikawa niko kwenye gari namsubiri,matokeo yake akatumia zaidi ya lisaa limoja humo ndani, ofcoz me niliudhika sana coz alijua leo tutatoka kwa nini hayo mambo ya saloon hakuyafanya mapema?

Alivyomaliza mambo yake akaja kwenye gari me nikaamua kumuudhi makusudi tu, nikamwambia hiyo make up aliyofanya haijampendeza kabisa, bora awe anabaki na sura yake ya kawaida tu.alikasirika sana baada ya kumuambia hivyo,akaniuliza kama mimi sitomsifia nani mwingine wa kumsifia aliongea mengi sana me nikampuuza tu so tangu Jumamosi Hadi leo kaninunia,hanisemeshi chochote.

Kuna haja ya kumuomba msamaha au nami niendelee kukaza buti wakuu?
Huyo atulie atajirudi tu... mke unasimama nae na unamtetewa akiwa mbele za watu ila kwa private kama ivo .... Anasemwa vizuri tu ajirekebishe
 
Mzee baba umezingua sana sio vyema kumwambia mke wako neno kama hilo ilipaswa umsifie sana pia jitaidi ukontroo hasira zako kwa mkeo, kinachotakiwa jitaidi mkishakura chakula cha usiku mkiwa kitandani mwombe msamaha hapo upo nae zero distensi bila shaka atakusamehe sasa kinachofata hapo mchombeze unakula mzigo flesh kabisa baada ya hapo utakuja kuleta mrejesho hapa.
Sawa mkuu
 
Mkikua mtaacha mimi na wife wangu tupo bize na huu uchumi wa kati hatunaga huo muda
 
Mwanamke yoyote yule ukitaka uchukue attention yake yote kwa muda mfupi na akukumbuke maisha yake yote zaidi hata ya alie mtoa bikira we mtoe kasoro tu [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mi ilishafuka wakati akawa haniuliza Kama kapendeza au laa mana majibu yangu huwa nayamudu mwenyewe
 
Habari za leo watanganyika wenzangu?

Jumamosi iliyopita tulikuwa na mwaliko wa harusi,sasa basi my wife akaniambia nikimaliza mizunguko yangu nimpitie ofisini kwake ili twende wote home tukajiandae, well me kwenye saa 10 hivi jioni nikawa nimemaliza mizunguko yangu, nikasema ngoja nimpitie wife kama tulivyokubaliana nilivyofika akaniambia nimdrop kwanza saloon akafanye make up akaniambia hapo saloon angetumia dakika 10 tu, so me nikampeleka hapo saloon then nikawa niko kwenye gari namsubiri,matokeo yake akatumia zaidi ya lisaa limoja humo ndani, ofcoz me niliudhika sana coz alijua leo tutatoka kwa nini hayo mambo ya saloon hakuyafanya mapema?

Alivyomaliza mambo yake akaja kwenye gari me nikaamua kumuudhi makusudi tu, nikamwambia hiyo make up aliyofanya haijampendeza kabisa, bora awe anabaki na sura yake ya kawaida tu.alikasirika sana baada ya kumuambia hivyo,akaniuliza kama mimi sitomsifia nani mwingine wa kumsifia aliongea mengi sana me nikampuuza tu so tangu Jumamosi Hadi leo kaninunia,hanisemeshi chochote.

Kuna haja ya kumuomba msamaha au nami niendelee kukaza buti wakuu?
Muombe msamaha, jirekebishe. Mwanamke hata kama kapiga boko.. tumia lugha line kumuweka sawa na hasa kwa vitendo.. kama sugestion vile.. una muambia ivi baby hapa ungefanya hivi ingekuwa super zaidi..huku unajua kabisa kamcheka.
 
Usihofu kijana, fanya hivi. Kesho mkiamka salama jiandae kuvaa vizuri kama unaenda kazini kisha mwambie mwenzangu nakwenda kuoa mke wa pili ili nipate mtu wa kuzungumza naye ukinikasirikia.
 
Back
Top Bottom