Siku ya tano leo wife kaninunia kisa nilimchana ukweli kuwa hajapendeza

Huyo atulie atajirudi tu... mke unasimama nae na unamtetewa akiwa mbele za watu ila kwa private kama ivo .... Anasemwa vizuri tu ajirekebishe
 
Sawa mkuu
 
Kwanza una roho ngumu
Mi mwanamke ambae haendi na mda huyo tutapishana Sana..! Dk 10 afu zigeuke kua lisaa? Angekuta alama za tairi tu
 
Mkikua mtaacha mimi na wife wangu tupo bize na huu uchumi wa kati hatunaga huo muda
 
Mwanamke yoyote yule ukitaka uchukue attention yake yote kwa muda mfupi na akukumbuke maisha yake yote zaidi hata ya alie mtoa bikira we mtoe kasoro tu [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mi ilishafuka wakati akawa haniuliza Kama kapendeza au laa mana majibu yangu huwa nayamudu mwenyewe
 
Muombe msamaha, jirekebishe. Mwanamke hata kama kapiga boko.. tumia lugha line kumuweka sawa na hasa kwa vitendo.. kama sugestion vile.. una muambia ivi baby hapa ungefanya hivi ingekuwa super zaidi..huku unajua kabisa kamcheka.
 
Kesho nitamsifia haswa nikionana naye.
 
Usihofu kijana, fanya hivi. Kesho mkiamka salama jiandae kuvaa vizuri kama unaenda kazini kisha mwambie mwenzangu nakwenda kuoa mke wa pili ili nipate mtu wa kuzungumza naye ukinikasirikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…