Siku ya tano leo wife kaninunia kisa nilimchana ukweli kuwa hajapendeza


...akaniambia NIMPITIE ofisini kwake
... nikasema ngoja NIMPITIE
... nilivyofika akaniambia DIMDROP ...
... nikawa niko kwenye GARI...
... akaja kwenye GARI...
 
Utoto mwingi.
Siku tano kanuna!
Je akigundua kuwa umezaa nje ya ndoa si atanuna karne nzima??
 
Ulikosea man...palepale ungechenji gia angani, ungemwambia "kwani nawe hutaniwi my wangu" ungeona anavoanza kujichekelesha, ungeua soo...
 
Ulikosea man...palepale ungechenji gia angani, ungemwambia "kwani nawe hutaniwi my wangu" ungeona anavoanza kujichekelesha, ungeua soo...
 
...akaniambia NIMPITIE ofisini kwake
... nikasema ngoja NIMPITIE
... nilivyofika akaniambia DIMDROP ...
... nikawa niko kwenye GARI...
... akaja kwenye GARI...
Jikite kwenye hoja mkuu.
 
Usithubutu kuomba samahani. Wababa hatufanyi huo upuuzi. umeonyesha uanamume
 
Muda wa salon hautabiriki mjomba.
Ila hukufanya vizuri kumwambia ulivyomwambia maana hata Mimi ningenuna ila nisingefikisha siku 5πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..bembeleza arudi katiak hali yake ya siku zote..shauri yako
Hiyo avatar yako hata haijapendeza!
 
Eti, Mwanamke apigwi analambwa kisigino.
 
Halafuui anaachwaaa akishakomoa
 
Sasa kama hakupendeza si anaambiwa ukweli. πŸ˜€πŸ˜€Yaani anakufundisha unafki.
 
Huyo mke ulitafutiwa na Wazazi nini.......kwa maelezo hayo inatia mashaka kidogo
 
Yaani mke wangu mwenyeww nimemlipia mahali alafu ananichomesha mahindi saa lizima...mie namuacha hapo hapo na aje amenuna ndio atakuwa amepata somo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…