Siku ya tatu bila umeme makumbusho, biashara zinakufa

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,345
Reaction score
15,851
Kwakweli inchi ishaanza kuwa ngumu, siku ya 3 mtu unatoka home unafika ofisini kwako makumbusho hamna umeme na shughuli zote za kukuingizia kipato zinahitaji umeme. Na hii ni kila wiki lazima wakate. Hakyanan tunakoelekea sijui maana hakuna hata anaejali. Ujasiliamali unaanza kutushinda hivihivi bila kutegemea.

Enzi za nanilii tulishagasahau huu unjinga unaorudi kwa kasi.
 
We unasema siku ya tatu, hapa nilipo niko Morogoro kusini, leo ni wiki ya tatu umeme hakuna, tangu pale msamvu palivyoungua mpaka leo, ni hadithi tu.
 
Kwakweli inchi ishaanza kuwa ngumu, siku ya 3 mtu unatoka home unafika ofisini kwako makumbusho hamna umeme na shughuli zote za kukuingizia kipato zinahitaji umeme. Na hii ni kila wiki lazima wakate. Hakyanan tunakoelekea sijui maana hakuna hata anaejali. Ujasiliamali unaanza kutushinda hivihivi bila kutegemea.

Enzi za nanilii tulishagasahau huu unjinga unaorudi kwa kasi.
Alisema “mtanikumbuka...”
 
Mmeshawalipa hela yao ya jengo via LUKU , tukutane mwezi ujao 😂😂😂
 
Mzee Sethi wa IPTL anawachungulia tu anasema Hiiiiiiii dili linakuja hilo
 
Back
Top Bottom