Wapi nimesema kuwa nimetapeliwa?Wafanyabiashara wa Makumbusho mnajua kusoma kweli?Hahahaaa pole mkuu ulikutana na wahuni tu
Alisema “mtanikumbuka...”Kwakweli inchi ishaanza kuwa ngumu, siku ya 3 mtu unatoka home unafika ofisini kwako makumbusho hamna umeme na shughuli zote za kukuingizia kipato zinahitaji umeme. Na hii ni kila wiki lazima wakate. Hakyanan tunakoelekea sijui maana hakuna hata anaejali. Ujasiliamali unaanza kutushinda hivihivi bila kutegemea.
Enzi za nanilii tulishagasahau huu unjinga unaorudi kwa kasi.
Kabisa!Mama hatoshi kukalia hicho kiti. Amalizie tu muda wa John akapumzike.
Muda wa Joni uliisha tangu March 2021Mama hatoshi kukalia hicho kiti. Amalizie tu muda wa John akapumzike.