Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Tunaitazama dunia katika Angle tofauti tofauti. Bado ni tishio kuu mpaka sasa ulimwenguni. Siku hizi matangazo na campaigns zimepunguzwa sanaa. Wapo walio survive long more than 20 years na ukionyeshwa huwezi watambua kwa macho.
Wapo watoto wabichi. Vijana wa mjini wana waita "PISI" kali. Kwa bahati mbaya walizaliwa na virusi. Na wengine wamefika mbali hadi ELIMU za juu mpaka vyuo vikuu. Ukiwaona wapo vizuri Sana huwezi kuzani wameathirika.
KWA mtazamo wangu UKIMWI unabakia Kama "casual burning" Maana una sambaa kwa kasi Sana katika jamii. Jamii HAINA hofu yeyote Tena Kama kile kipindi cha MIAKA ya 90's
Serikali na NG'O zimepunguza Sana Kampeni za UKIMWI. Pia zimepunguza kutoa ELIMU KWA VIJANA. Siku izi hata upatikanaji wa condom kwenye baadhi ya maeneo (sio yote) Ni shida. Kuna muda ziliadimika Sana na hata bei zake hazikamatiki.
NIWATAKIE KHERI YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI
Wasalaam