Aladeen04
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 3,524
- 5,731
Sasa mkuu tuache ngono afu tufanye nini? Labda useme tuache ngono zembe mkuu sex pia ni basic need.Ukimwi bado ni ugonjwa unao tisha sana kuliko magonjwa mengine maaana mtu anaweza kukubali kupimwa korona bila woga kuliko ukimwi. Watu wengi bado ni wana uoga kupima ukimwi kutokqna Na ugonjwa wenyewe kutisha na kutisha.
Ukimwi hauna chanjo wala Kinga, tuache ngono