Siku ya UKIMWI Duniani: Ushuhuda wangu

Sasa mkuu tuache ngono afu tufanye nini? Labda useme tuache ngono zembe mkuu sex pia ni basic need.
 
Kila mtu anajisikia huru kujitangaza kuwa Ana corona
 
Mioyo ya wengi imebeba mengi Sana....

All in all mungu atupe mwisho mwemaa

Sijajua Kama hizi hair cutting salon Zina weza ku transmit virus....

Nakumbuka MIAKA ya nyuma hivyo vifaa vilikua vina be warmed...
 
Aaah! Condom wanatumia bao la moja tu, yanayo endelea wanajisahau wanapiga nyama nyama
 
1 Dec
 
Mkuu sasa iv ni bora uone kila demu kaungua tu , huo ugonjwa usikie tu.
All in all Kuna ambao wameweza ku cope with the situation na wapo vizuri yaan huwezi kudhani.......

Ukiwa masikini ndio unapata hofu na woga mwisho wa siku unakufa kabla ya siku zako...

Wapo walio kubali hali na wana survive very Long...
 
Mkuu Acha maneno ya kuji fariji UKIMWI haufai mtu kuwa nao ni basi tu .
 
Huyu mdudu alichukua maisha ya wengi( zaidi innocent souls watoto wanawake Wanaume)
Huu ugonjwa usikie kwa jirani omba sana usiifikie nyumba yako au ukoo wako.

Sijui kwa nini Mungu aliruhusu hili !

Roho zao wengi zipumzike kwa Amani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…