ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Hongereni walimu mmetutoa mbali
Hebu soma tenaHEEE KUMBE WEWE MWALIMU SIKUJUA HONGERENI SANA
hahahsaaaaaaaaaaaaaaaaaa sikuona vizuriHongereni walimu mmetutoa mbali
Sawa sawahahahsaaaaaaaaaaaaaaaaaa sikuona vizuri
hhahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa umeniacha hoi kabisaKuna ticha alinichapa kiroho mbaya mwaka 2001 wakati nipo darasa la saba.
Magufuli kamtumbua.
Habarini Wadau
Leo ni siku ya WALIMU DUNIANI. Je ni jambo gani unalikumbuka ambalo Mwalimu alifanya juu yako iwe kukupatia elimu nzuri na bora, ama iwe chochote alichokifanya juu yako mpk uko hivyo ulivyo.
Wadau tiririkeni mambo mnayokumbuka pindi mlipokuwa shuleni/vyuoni au pindi mlipo sasa hapo shuleni/vyuoni.
Wasalamu.
Ladyf
hahhaaaaaaaaaaaaaaa walipewa hela ili watimize azma za wale wakuu-Kunitoa ujinga/kunifundisha✓
-Sintowasahau kwa kushirikishwa katika wizi wa kura vipindi vya uchaguzi kwa posho za "paundi paundi"/elfu ishirini! X
kabisa bila ya walimu tusingefika hapa tulipoSerikali iwathamini hawa watu maana wametufanya tujue kusoma,kuhesabu,kuandika,tujue kiingereza,usafi kijitambua na kujithamini n.k.
Hata sisi tewaheshimu hata kama tumefanikiwa sana kwani tumepita mikononi mwao.