Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Namkumbuka sana mwalimu Bibi Leah mwalimu wangu wa darasa la kwanza aliyekuwa anakuja na ndizi kisukari shuleni kama motishaHabarini Wadau
Leo ni siku ya WALIMU DUNIANI. Je ni jambo gani unalikumbuka ambalo Mwalimu alifanya juu yako iwe kukupatia elimu nzuri na bora, ama iwe chochote alichokifanya juu yako mpk uko hivyo ulivyo.
Wadau tiririkeni mambo mnayokumbuka pindi mlipokuwa shuleni/vyuoni au pindi mlipo sasa hapo shuleni/vyuoni.
Wasalamu.
Ladyf