Namkumbuka sana mwalimu Bibi Leah mwalimu wangu wa darasa la kwanza aliyekuwa anakuja na ndizi kisukari shuleni kama motishaHabarini Wadau
Leo ni siku ya WALIMU DUNIANI. Je ni jambo gani unalikumbuka ambalo Mwalimu alifanya juu yako iwe kukupatia elimu nzuri na bora, ama iwe chochote alichokifanya juu yako mpk uko hivyo ulivyo.
Wadau tiririkeni mambo mnayokumbuka pindi mlipokuwa shuleni/vyuoni au pindi mlipo sasa hapo shuleni/vyuoni.
Wasalamu.
Ladyf
hahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kwahiyo wewe ulimpenda mwalimu maana alikuwa anakuja na ndizi na kuwapa UMETISHA na masomo gani uliyafurahia aliyoyokuwa akifundisha?Namkumbuka sana mwalimu Bibi Leah mwalimu wangu wa darasa la kwanza aliyekuwa anakuja na ndizi kisukari shuleni kama motisha
Je unamkumbuka mwalimu wako kwa kipi hasa mkuu?Uzi Wa Mwalimu huu....Hongereni Mno...Maisha Mema na Baraka Tele...[emoji257][emoji272][emoji262][emoji322][emoji323]
Mengi mno Mkuu...Nipo JF pia Chanzo ni Mwalimu...j
Je unamkumbuka mwalimu wako kwa kipi hasa mkuu?
wooow aisee nzuiri sana hizi walimu ni watu wa muhimu sana maishani yaani wanatoa ujinga wanapandikiza maarifaAlitufundisha mwalimu ni kama tukiwa darasa la pili, sikumbuki hata jina lake.
Tulitumia kulabu, yaani crochet stitching, nimekuja kuikumbuka after my retirement.
Nashona nyingi nyingi niweze kwenda kwenye maonesho. View attachment 1967922View attachment 1967935View attachment 1967936
hiki kinguo cha maroon kizuri sana unashona na masweta ?Alitufundisha mwalimu ni kama tukiwa darasa la pili, sikumbuki hata jina lake.
Tulitumia kulabu, yaani crochet stitching, nimekuja kuikumbuka after my retirement.
Nashona nyingi nyingi niweze kwenda kwenye maonesho. View attachment 1967922View attachment 1967935View attachment 1967936
Sweta pia alitufundisha pia,hiki kinguo cha maroon kizuri sana unashona na masweta ?
KWAHIYO UNASHONA MASWETA YA KILA AINASweta pia alitufundisha pia,
[emoji3]kuandika a e i o uhahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kwahiyo wewe ulimpenda mwalimu maana alikuwa anakuja na ndizi na kuwapa UMETISHA na masomo gani uliyafurahia aliyoyokuwa akifundisha?
HAHHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA hizi ni herufi kuu tamka kwa sauti kuu sema ..........[emoji3]kuandika a e i o u
Kweli vileHAHHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA hizi ni herufi kuu tamka kwa sauti kuu sema ..........
Ndio nyie hamkosekanagi dogo hebu kakue huko FB hapa utapoteaaKuna ticha alinichapa kiroho mbaya mwaka 2001 wakati nipo darasa la saba.
Magufuli kamtumbua.