Siku ya Wanawake Duniani: Je, tuna Wanawake wenye sifa za Presidential Material?

Umetisha sana mkuu. Kama anapitapita humu basi achingulie na yale mabandiko yako mengine unayomshauri mambo muhimu kama vile kuondoa ubatili uliopachikwa kwenye katiba yetu.
 
Ni katika kukumbushana tuu, niliwahi kusema nini humu kumhusu Samia Suluhu Hassan, kabla hajawa rais wa JMT.

Hiyo October 29 tukiamua kumpa tena mitano mingine, then atafanya better and better!
Tumpe!.
P
 
Leo siku ya wanawake duniani, nawapa hongera wanawake wote duniani kwa kuzaliwa wanawake, maana hakuna maisha kwa maana ya life bila mwanamke, ila life bila mwanaume, inawezekana, but there is no life without a female!. Big up sana kwa wanawake wote !.
P.
 
Huyu tuliyenaye amewaharibia sana wenzake.
 
Leo ni siku ya Happy Mothers Day,
Natoa salamu zangu kwa wanawake wote ambao ni wa mama, akiwemo mwanamke huyu!.
Happy Mothers Day!.
Paskali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…