Siku ya Wanawake Duniani: Je, tuna Wanawake wenye sifa za Presidential Material?

Wanabodi,

Leo ni Siku ya Wanawake Duniani, katika safari ya kuelekea usawa wa kijinsia, kuna wanawake wengi wenye sifa na uwezo, lakini wamenyimwa fursa za kushika nafasi za juu kisiasa kutokana na nyingi ya nafasi hizo, kuhodhiwa na wanaume, katika kitu kinachoitwa "mfumo dume!"

Swali ni je, nafasi hizo za juu kisiasa zimeshikwa na wanaume kwa sababu hatuna wanawake wenye sifa, au zimeendelea kushikwa na wanaume kwa sababu ya mfumo dume tuu, nikimaanisha wanawake wenye sifa wapo, lakini hawajateuliwa kushika nafasi hizo?

Kufuatia kilio cha muda mrefu cha wanawake kunyimwa fursa, je ni kweli tunao wanawake wenye sifa na uwezo wa kutupeleka kwenye 50/50?. Hebu na tuanzie na wanawake wenye sifa za urais, je tunao?

Hebu tuwakumbuke the top ten female politicians in Tanzania, na nafasi wanazoshika! Je, wamefikaje hapo, kwa kupanda wenyewe, au wamebebwa ndipo wakafika hapo? Je, wana sifa za urais?
  1. Top No.1 ni Mhe. Samia Suluhu Hassan.
    Huyu mama ni very powerful in Zanzibar na miongoni mwa wanawake wachache wa shoka kutoka Zanzibar. Ni Mjumbe wa CC na NEC wa CCM.
    Very high profile woman from Zanzibar, baada ya kuhudumu kwa miaka 10 kwenye Baraza la Wawakilishi, ameingia Bunge la JMT for 5 years sasa ni VP kumuandaa ama kuwa rais wa Zanzibar kisha kuja bara, au kumpumzusha JPM 2020.
  2. Gutrude Mongela-Huyu alikuwa Mwenyekiti wa ule mkutano maarufu wa Wanawake wa Beijing, na Spika wa Kwanza wa Bunge la Afrika. Yeye alifika kote huko kwa deserving. Ni presidential material, ila kwa siasa zetu za Tanzania, she is a spent force!.
  3. Mhe. Anna Makinda-Spika wa Bunge la Tanzania- ameupata usipika kwa kubebwa na mbeleko ya jinsia, ukimlinganisha na spika Sitta aliyemtangulia, Mama Makinda anaonekana amepwaya!. Likija suala la Urais, Mama Makinda anauweza sana urais, kwa sababu ni mtu mwenye msimamo usioyumba!. Maamuzi ya kirais hayahitaji mjadala kama maamuzi ya bunge, hivyo Mama Makinda ni predidential material
  4. Dr. Asha Rose Migiro- Ni mwanamke wa kwanza kushika nafasi ya Deputy SG wa Umoja wa Mataifa akimsaidia Ban Ki Moon, kwa sasa ni mjumbe wa CC ya CCM, na waziri wa sheria wa Tanzania. Amefika kote alikofika kwa deserving, tukija kwenye u predidential material, she is presidential material, anachotakiwa kufanya sio kusubiri Chama ndio kimpush, anatakiwa kuonyesha nia na kujitokeza, sio lazima kutangaza kuwa anautaka urais, ili asije kuingia vitani na wasaka urais, bali kujitokeza hadharani kusema yeye ni presidential material, ana sifa na uwezo, wakati wa kutangaza ukifika, atafikia maamuzi au atangaze kujitupa kwenye kinyanganyiro au laa!, na sio kukaa kimya kuisubiria mbeleko ya CCM kubebea watu kwa utaratibu ule wa "sasa ni zamu ya mwanamke!".
  5. Prof. Anna Tibaijuka
  6. Getrude Mongela
  7. Anna Abdallah
  8. Mary Nagu
  9. Hellen Kijo Bisimba
  10. Maria Sarungi
  11. tuendelee kuwataja wengine.
Natoa pongezi kwa wanawake hawa, na kufuatia wengi kupata nafasi hizo kwa upendeleo uwe ni wa mbeleko ya viti maalum, au affirmative action jinsia, kote huko ni kubwebwa! Ule msemo wa wanawake wakiwezeshwa wanaweza, nao ni mbeleko tu, hivyo kuelekea October, 2015, ili wanawake waonyeshe uwezo kuwa wanaweza, sasa ni wakati wa hao wanawake wenye uwezo, wajitokeze hadharani tuwaone kuanzia kwenye kugombea nafasi ya urais!, bado sijamsikia mwanamke yoyote akijitaja anaweza!, na atajitokeza, ukiachilia hawa wanaotajwa tajwa tu, huku wenyewe wamejificha jikoni.

Natoa wito kwa wanawake, kama ni kweli mna uwezo, jitokezeni kwenye urais, ili hata msiposimamishwa, angalau 2015, tuwe na makamo rais mwanamke, au Waziri Mkuu Mwanamke!

Paskali.
Ni uzi wa zamani sana ila niulize tu mbona uliandika au kumpumzisha JPM 2020...did you saw it coming SSH kumpuzisha JPM 2020, how why
 
Kufuatia JPM complaining urais ni mzigo, analala na mafaili hadi chumbani, anachoka sana, nikashauri JPM asigombee 2nd term, Samia ndio ampokee ile 2020.
P
 
Japo mimi niko kwenye lile kundi linalosisitiza Samia asipangiwe, aachwe afanye vile anaona inafaa, lakini kuhusu huu uteuzi usiozingatia kabisa gender balance, honesty, I don't believe huyu ni Samia huyu niliye zungumza hapa!.

Jee inawezekana Tanzania ni hatuna wanawake wa kutosheleza gender balance?, au wapo wamesahaulika?.

Kama tuna wanawake wenye sifa hadi za urais, tunakosaje wanawake wa kutosha wenye sifa za kubalance gender balance?.

Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

Kila nipatapo fursa, nitakuwa naendeleza zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo zina lengo la kusaidia nchi yetu, serikali yetu na viongozi wetu. Makala ya leo ni swali tuu, ni hoja na swali.

Hoka ni "Kufanya Kosa Si Kosa, Kosa Kurudia Kosa", tangu rais Samia ashike usukani, jana ndio uteuzi wake mkubwa wa kwanza wa viongozi wengi kwa mpigo. Kwa maoni yangu, kwenye uteuzi huu, nina swali, "Jee ni Kweli Tanzania Hatuna Wanawake wa Kutosha Wenye Sifa za Uongozi Kustahili Uteuzi?. Kwa maoni yangu uteuzi huu una walakin, ila Rais Samia hajafanya kosa lolote, bali tukubali, tukatae, kule nyuma, kuna makosa yalifanyika. Sasa ni jukumu letu sisi tuliibahatika kuyaona makosa hayo ya nyuma, ambayo Rais Samia ameyarithi, tumsaidiwe, rais Samia, kwa kuyataja makosa hayo, ili rais Samia asirudie makosa ya nyuma, kufanya kosa sii kosa, kosa kurudia kosa, kwenye maa RC kuna kosa la gender balance, kwa vile wanakuja ma RAS, wanakuja ma DED, wanakuja ma DC, wanakuja ma DAS, tumsaidie Tanzanite Lady wetu, Mama Samia, huko mbele, tusirudie makosa!.

Kosa lenyewe ni jibu la swali hili, " hivi ni kweli kabisa, Tanzania hatuna wanawake wenye sifa, wa kutosha kufikia 50/50 ya gender balance kwenye nafasi za uteuzi?.

Kabla haujasoma hoja za bandiko hili, naomba nikupe homework ndogo ya kusoma bandiko langu hili

Kwa vile Mama Samia amejitanabaisha wazi yeye ni kama JPM, kwenye upande wa uteuzi wa JPM, we had gender problem!.

Uteuzi wa JPM, Kwa mfano idadi ya mawaziri wanawake ni 4 tu kati ya 19, hii ni asilimia 21%. wanaume ni asilimia 79%. Kwenye Baraza la Mawaziri la Samia, lina mawaziri 25, wanawake ni 6 ambao ni asilimia 24% wanaume 19 ambao ni asilimia 76%. Hivyo hapa gender imbalance imeendelezwa!.

Kwenye uteuzi wa Wakuu wa Mikoa, kati ya wakuu wa mikoa 26 wa Magufuli, wanawake ni 4 tu ambao ni asilimia 15% wakati wanaume ni 21 ambao ni asilimia 85%!. Sasa rais Samia anapita mule mule, alikopita JPM kwenye uteuzi wa wakuu wa mikoa wa Samia ameteuwa ma RC wanawake 4 tu kati ya ma RC 25, hii ni asilimia 16% ndio wanawake na wakati wanaume ni 21 ambao wanafanya asilimia 84%!.

Kwenye wakuu wa wilaya, kati ya wakuu wa wilaya 134 wa Magufuli, wanawake ni 25 tu ambao ni asilimia 18%, wakati wanaume ni 109 ambao ni asilimia 82%. Na kwa upande wa Wakurugenzi, kati ya wakurugenzi wa halmashauri na wilaya 185 wa Magufuli, wanawake ni 33 tu!, ambao ni asilimia 17% tuu, wanaume asilimia 83%.

Kwa trend reading, kama ni kweli kabisa Samia ni kama Magufuli, then you know what to expect, kwenye uteuzi wa ma DC na Wakurugenzi. Hili ni kosa, lisiachwe liendelee!.

Hii maana yake, kati ya Watanzania milioni 60, ni kweli hakuna wanawake capable wa kutosha kuteuliwa kuwa ma RC, ndio wamepatikana hao 4 tuu!. Is this so?!.

Conclusion.
Kwa vile hatukumpangia JPM nini cha kufanya, hivyo nilisisitiza tangu mwanzo, tusimpangie Samia, lakini huku kutompangia Samia, hakumaanishi tunapoona mapungufu mahali, au mambo yanakwenda ndivyo sivyo, tunawajibu wa kumshauri ili kumsaidia. Katika safari ya kuelekea gender balance ya 50/50 katika uongozi, mimi siamini kuwa Tanzania hatuna wanawake wa kutosha hadi uteuzi wa wanawake uwe that low.

Kwa fikra zangu, Naamini uteuzi huu wa ma RC ni mama Samia, ameendelea kubeba some luggages na baggages za mtangulizi wake. Hilo ni kosa!. Kufanya kosa si kosa, kosa kurudia kosa!. JPM alifanya kosa kwenye gender balance.

Gender balance kwenye baraza la mawaziri hatuwezi kulaumu, kwasababu ili mtu uwe waziri ni lazima kwanza uwe mbunge, ikitokea hakuna wanawake wa kutosha kujaza nafasi za kufikia kiwango cha 50/50, hili litaeleweka, kwasababu Mama Samia, ameingia na kuwakuta wabunge tayari wapo, ikitokea wabunge wote hadi wa viti maalum, hawana sifa za uwaziri, hatuwezi kulaumu, kwasababu sio kosa lake. Huwezi tuu kujiteulia watu hawana sifa ili tuu kutimiza gender balance. Lakini kwenye ma RC, ma DC , ma RAS, ma DAS ns na DED, yaani Wakurugenzi, haiwezekani Tanzania ndani ya hii milioni 60, wakakosekana wanawake wenye sifa.

Naamini rais Samia, kaletewa majina na kuongeza wachache tuu, hivyo sasa tunamuomba, kwenye ma DC, ma RAS, ma DED na ma DAS, awatendee haki wanawake wa Tanzania.

Nisimalize bila kumpongeza Mama Samia kwanza kwa ku heal the nation kwa kutenda haki, na pili ni pongezi kwa kuyaishi maneno yake ya kuteua yoyote hata kutoka upinzani.

Tanzania ni yetu sote,
Mungu mbariki Mama Samia.
Mungu ibariki Tanzania.

Paskali
 
Upo sahihi mkuu. Mamlaka za uteuzi zifikirie namna ya kuwapa uteuzi wakina mama kwa wingi hata kama haitafikia 50/50.
 
Kwenye original post hukumtaja samia..naona orodha yako ilikuwa na makinda na migiro tu. Je swali ni hukuona potential yake kama watz wengine hadi alipo chukua umakamu wa rais ndio ikakuingia kuwa naye ni potential?
 
Kama kawaida yako,safari hii atakuona tu

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
    Very high profile woman from Zanzibar, baada ya kuhudumu kwa miaka 10 kwenye Baraza la Wawakilishi, ameingia Bunge la JMT for 5 years sasa ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamo wa Rais. Ndiye alikuwa Makamo Mwenyekiti wa Bunge la Katiba. Huyu ni presidential material, sasa ni kumuandaa kwanza kuwa rais wa Zanzibar kwa kumpumzisha Dr. Shein kipindi chake cha pili, kisha 2020 aje urais wa Muungano, ili hili ifanyike, itabidi, CCM iachane na ule utaratibu wake wa two terms za urais, kwasababu kusubiria 2025, kwa huyu mama itakuwa too little too late, age itakuwa imemtupa mkono.
Natoa wito kwa wanawake, kama ni kweli mna uwezo, jitokezeni kwenye urais, ili hata msiposimamishwa, angalau 2015, tuwe na makamo rais mwanamke, au Waziri Mkuu Mwanamke!

Paskali.
Kumbe kama kuna mambo makubwa aliyasema na yakatokea
Kumbuka hata biblia imesema Yesu atarudi, hadi sasa ni miaka 2000+ hajaonekana ila bado watu wanaamini na kuifuata.

Sijui wewe unayepi ya maana umeyasema na yakatokea yote hapo hapo? Pascal Mayalla
Mkuu Nzwangendaba, kwanza hongera kwa jina zuri, linafanana na yule kiongozi wa Wangoni kutoka Africa Kusini kuja kuhamia Tanzania, Zongendamba.

Karibu mitaa hii, angalia tuu tarehe ya bandiko ni la lini na nini kilikuja kutokea.
P
 
Wanabodi,

Leo ni Siku ya Wanawake Duniani, katika safari ya kuelekea usawa wa kijinsia, kuna wanawake wengi wenye sifa na uwezo, lakini wamenyimwa fursa za kushika nafasi za juu kisiasa kutokana na nyingi ya nafasi hizo, kuhodhiwa na wanaume, katika kitu kinachoitwa "mfumo dume!"

Swali ni je, nafasi hizo za juu kisiasa zimeshikwa na wanaume kwa sababu hatuna wanawake wenye sifa, au zimeendelea kushikwa na wanaume kwa sababu ya mfumo dume tuu, nikimaanisha wanawake wenye sifa wapo, lakini hawajateuliwa kushika nafasi hizo?

Kufuatia kilio cha muda mrefu cha wanawake kunyimwa fursa, je ni kweli tunao wanawake wenye sifa na uwezo wa kutupeleka kwenye 50/50?. Hebu na tuanzie na wanawake wenye sifa za urais, je tunao?

Hebu tuwakumbuke the top ten female politicians in Tanzania, na nafasi wanazoshika! Je, wamefikaje hapo, kwa kupanda wenyewe, au wamebebwa ndipo wakafika hapo? Je, wana sifa za urais?
  1. Top No.1 ni Mhe. Samia Suluhu Hassan.
    Huyu mama ni very powerful in Zanzibar na miongoni mwa wanawake wachache wa shoka kutoka Zanzibar. Ni Mjumbe wa CC na NEC wa CCM.
    Very high profile woman from Zanzibar, baada ya kuhudumu kwa miaka 10 kwenye Baraza la Wawakilishi, ameingia Bunge la JMT for 5 years sasa ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamo wa Rais. Ndiye alikuwa Makamo Mwenyekiti wa Bunge la Katiba. Huyu ni presidential material, sasa ni kumuandaa kwanza kuwa rais wa Zanzibar kwa kumpumzisha Dr. Shein kipindi chake cha pili, kisha 2020 aje urais wa Muungano, ili hili ifanyike, itabidi, CCM iachane na ule utaratibu wake wa two terms za urais, kwasababu kusubiria 2025, kwa huyu mama itakuwa too little too late, age itakuwa imemtupa mkono.
Natoa wito kwa wanawake, kama ni kweli mna uwezo, jitokezeni kwenye urais, ili hata msiposimamishwa, angalau 2015, tuwe na makamo rais mwanamke, au Waziri Mkuu Mwanamke!

Paskali.
Samia sio president material. Hana ushawishi wa maneno wala wa vitendo. Hata akisimama jukwaani hana nguvu ya kisiasa.

NB: CCM wakitaka waaibike 2025 wamuweke huyu mama. Watapata aibu ya karne.
I'd like to differ, its the other way round,
na 2025...Utashangaa!.

P
 
Wanabodi,

Leo ni Siku ya Wanawake Duniani, katika safari ya kuelekea usawa wa kijinsia, kuna wanawake wengi wenye sifa na uwezo, lakini wamenyimwa fursa za kushika nafasi za juu kisiasa kutokana na nyingi ya nafasi hizo, kuhodhiwa na wanaume, katika kitu kinachoitwa "mfumo dume!"

Swali ni je, nafasi hizo za juu kisiasa zimeshikwa na wanaume kwa sababu hatuna wanawake wenye sifa, au zimeendelea kushikwa na wanaume kwa sababu ya mfumo dume tuu, nikimaanisha wanawake wenye sifa wapo, lakini hawajateuliwa kushika nafasi hizo?

Kufuatia kilio cha muda mrefu cha wanawake kunyimwa fursa, je ni kweli tunao wanawake wenye sifa na uwezo wa kutupeleka kwenye 50/50?. Hebu na tuanzie na wanawake wenye sifa za urais, je tunao?

Hebu tuwakumbuke the top ten female politicians in Tanzania, na nafasi wanazoshika! Je, wamefikaje hapo, kwa kupanda wenyewe, au wamebebwa ndipo wakafika hapo? Je, wana sifa za urais?
  1. Top No.1 ni Mhe. Samia Suluhu Hassan.
    Huyu mama ni very powerful in Zanzibar na miongoni mwa wanawake wachache wa shoka kutoka Zanzibar. Ni Mjumbe wa CC na NEC wa CCM.
    Very high profile woman from Zanzibar, baada ya kuhudumu kwa miaka 10 kwenye Baraza la Wawakilishi, ameingia Bunge la JMT for 5 years sasa ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamo wa Rais. Ndiye alikuwa Makamo Mwenyekiti wa Bunge la Katiba. Huyu ni presidential material, sasa ni kumuandaa kwanza kuwa rais wa Zanzibar kwa kumpumzisha Dr. Shein kipindi chake cha pili, kisha 2020 aje urais wa Muungano, ili hili ifanyike, itabidi, CCM iachane na ule utaratibu wake wa two terms za urais, kwasababu kusubiria 2025, kwa huyu mama itakuwa too little too late, age itakuwa imemtupa mkono.
Natoa wito kwa wanawake, kama ni kweli mna uwezo, jitokezeni kwenye urais, ili hata msiposimamishwa, angalau 2015, tuwe na makamo rais mwanamke, au Waziri Mkuu Mwanamke!

Paskali.
Duh na wewe kumbe ni mnafiki! Sikujua Hilo. Ulimsifu Sana jpm kuwa ni masihi mpaka ukaunga juhudi, Sasa unajiweka Tena kwa Mana akuone. Hivi huiamnj kabisa kuwa unaweza kuishi bila kulamba lamba watu?
Angalia tarehe ya bandiko hili.
P
 
Wanabodi,

Leo ni Siku ya Wanawake Duniani, katika safari ya kuelekea usawa wa kijinsia, kuna wanawake wengi wenye sifa na uwezo, lakini wamenyimwa fursa za kushika nafasi za juu kisiasa kutokana na nyingi ya nafasi hizo, kuhodhiwa na wanaume, katika kitu kinachoitwa "mfumo dume!"

Swali ni je, nafasi hizo za juu kisiasa zimeshikwa na wanaume kwa sababu hatuna wanawake wenye sifa, au zimeendelea kushikwa na wanaume kwa sababu ya mfumo dume tuu, nikimaanisha wanawake wenye sifa wapo, lakini hawajateuliwa kushika nafasi hizo?

Kufuatia kilio cha muda mrefu cha wanawake kunyimwa fursa, je ni kweli tunao wanawake wenye sifa na uwezo wa kutupeleka kwenye 50/50?. Hebu na tuanzie na wanawake wenye sifa za urais, je tunao?

Hebu tuwakumbuke the top ten female politicians in Tanzania, na nafasi wanazoshika! Je, wamefikaje hapo, kwa kupanda wenyewe, au wamebebwa ndipo wakafika hapo? Je, wana sifa za urais?
  1. Top No.1 ni Mhe. Samia Suluhu Hassan.
    Huyu mama ni very powerful in Zanzibar na miongoni mwa wanawake wachache wa shoka kutoka Zanzibar. Ni Mjumbe wa CC na NEC wa CCM.
    Very high profile woman from Zanzibar, baada ya kuhudumu kwa miaka 10 kwenye Baraza la Wawakilishi, ameingia Bunge la JMT for 5 years sasa ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamo wa Rais. Ndiye alikuwa Makamo Mwenyekiti wa Bunge la Katiba. Huyu ni presidential material, sasa ni kumuandaa kwanza kuwa rais wa Zanzibar kwa kumpumzisha Dr. Shein kipindi chake cha pili, kisha 2020 aje urais wa Muungano, ili hili ifanyike, itabidi, CCM iachane na ule utaratibu wake wa two terms za urais, kwasababu kusubiria 2025, kwa huyu mama itakuwa too little too late, age itakuwa imemtupa mkono.
  2. Gutrude Mongela-Huyu alikuwa Mwenyekiti wa ule mkutano maarufu wa Wanawake wa Beijing, na Spika wa Kwanza wa Bunge la Afrika. Huyu pia ni Mwanamke wa shoka. Yeye alifika kote huko kwa deserving. Ni presidential material, ila kwa siasa zetu za Tanzania, she is already a spent force!, age sio rafiki.
  3. Mhe. Anna Makinda- Huyu ni Spika wa Bunge la Tanzania- ameupata usipika kwa kubebwa na mbeleko ya jinsia, ukimlinganisha na spika Sitta aliyemtangulia, Mama Makinda anaonekana wazi amepwaya kwenye Uspika!, lakini likija suala la Urais wa JMT, Mama Makinda ni presidential material, anauweza sana urais, kwa sababu ni mtu mwenye msimamo usioyumba!. Maamuzi ya ki Raisi wa nchi, hayahitaji mijadala kama maamuzi ya Bunge, hivyo Mama Makinda ni predidential material.
  4. Dr. Asha Rose Migiro- Huyu ni top most high profile woman from Tanzania kwenye International arena, ni mwanamke wa kwanza kushika nafasi ya Deputy SG wa Umoja wa Mataifa akimsaidia Ban Ki Moon, kwa sasa ni mjumbe wa CC ya CCM, na waziri wa sheria wa Tanzania. Amefika kote alikofika kwa deserving ya brain power, ndio the one and only female kupata 1st Class ya Sheria ya UDSM!. Lakini tukija kwenye u presidential material, she is presidential material interms of brain power, but she lack Presidential drive, anachotakiwa kufanya sio kusubiri Chama ndio kimpush, anatakiwa kuonyesha nia na kujitokeza, sio lazima kutangaza kuwa anautaka urais, ili asije kuingia vitani na wasaka urais, bali kujitokeza hadharani kusema yeye ni presidential material, ana sifa na uwezo, wakati wa kutangaza ukifika, atafikia maamuzi au atangaze kujitupa kwenye kinyanganyiro au laa!, na sio kukaa kimya kuisubiria mbeleko ya CCM kubebea watu kwa utaratibu ule wa "sasa ni zamu ya mwanamke!".
  5. Prof. Anna Tibaijuka
  6. Anna Abdallah
  7. Mary Nagu
  8. Hellen Kijo Bisimba
  9. Dr. Stagomena Tax Bamwenda
  10. tuendelee kuwataja wengine.
Natoa pongezi kwa wanawake hawa, na kufuatia wengi kupata nafasi hizo kwa upendeleo uwe ni wa mbeleko ya viti maalum, au affirmative action ya jinsia, kote huko ni kubwebwa! Ule msemo wa wanawake wakiwezeshwa wanaweza, nao ni mbeleko tu, hivyo kuelekea October, 2015, ili wanawake waonyeshe uwezo kuwa wanaweza, sasa ni wakati wa hao wanawake wenye uwezo, wajitokeze hadharani tuwaone kuanzia kwenye kugombea nafasi ya urais!, bado sijamsikia mwanamke yoyote akijitaja anaweza!, na atajitokeza, ukiachilia hawa wanaotajwa tajwa tu, huku wenyewe wamejificha jikoni.

Natoa wito kwa wanawake, kama ni kweli mna uwezo, jitokezeni kwenye urais, ili hata msiposimamishwa, angalau 2015, tuwe na makamo rais mwanamke, au Waziri Mkuu Mwanamke!

Paskali.
Paskali,
Leo siku ya Wanawake Duniani itapendeza kama tutachukua fursa hii kuwakumbuka wanawake waliopigania uhuru wa Tanganyika.

Wanawake hawa wamesahaulika na hakuna anaewakumbuka:

Nyange bint Chande na Zarula bint Abdulrahmani wa Tabora.
Nyange bint Chande yeye alitoa nyumba yake kuwa ofisi ya TANU.

Zarula bint Abdulrahman yeye alikuwa muuzaji kadi za TANU aliyeingiza watu wengi katika chama na alikuwa mjumbe wa Western Province katika mkutano wa Kura Tatu 1958.

Halima Selengia, Mama bint Maalim na Amina Kinabo kutoka Moshi hawa walikuwa waasisi wa TANU na walifanya mengi kwa hali na mali kuupigania uhuru wa Tanganyika.

Chiku bint Said Kisusa, Tatu bint Mzee na Hawa bint Maftah kutoka Dar es Salaam kwa kuwataja wachache.

Fatma Matola wa Mbeya.

Khadija Mkomanile mwanamke pekee aliyenyongwa kwa kunyanyua silaha dhidi ya Wajerumani katika Vita Vya Maki Maji.

Wako wengi na itapendeza kama mashujaa wetu wanawake wakatafutwa wote na kuadhimishwa.

Picha: Halima Selengia, Amina Kinabo na Lucy Lameck.

1640262659933.png
 
View attachment 2054611
Mkuu Maalim Mohamed Said , kwanza asante sana kwa kulikumbuka hili. Kutokana na umuhimu wa mchango wa wanawake katika kupigania uhuru, nashauri hoja hii, ianzishiwe uzi wake maalum, na thread starter uwe wewe, ili kuitumia ile advantage yako humu, kuna uzi nikianzisha mimi, utaishia page 2!.
Ila maoni yangu ni haya...
kwanza kuna michango ya aina mbili,
1. Active kwa kushiriki rasmi kama kina Bibi Titi na hao wengine
2. Passive kwa kutoshiriki direct kama wake wa viongozi kama kina Daisy, Mama Maria, Sofia etc.

Ila kwenye hii list yako, ulipaswa kuanza na jina la
  1. Bibi Titi Mohammed.
  2. Zarula bint Abdulrahmani wa Tabora- Muuza kadi za TANU
  3. Nyange bint Chande alitoa nyumba yake kuwa ofisi ya TANU
  4. Halima Selengia
  5. Mama bint Maalim
  6. Amina Kinabo kutoka Moshi
  7. Chiku bint Said Kisusa
  8. Tatu bint Mzee
  9. Hawa bint Maftah kutoka Dar es Salaam
  10. Fatma Matola wa Mbeya
  11. Khadija Mkomanile, mwanamke pekee aliyenyongwa na Mjerumani
  12. Lucy Lameck
Ila pia kuna kitu a bit strange thing nimekinote kwenye majina haya, mengi yana viashiria vya dini fulani!. Japo nchi yetu haina dini ila watu wake wana dini zao, na ni watu wa dini fulani ndio wengi zaidi walioupigania uhuru wa nchi hii kwa kumwaga machozi, jasho na damu, hadi uhuru ulipopatikana, ila baada ya uhuru, watu wa dini nyingine ndio wakaibuka kufaidi matunda ya uhuru?.

Au inawezekana hii list yenye majina mengi ya dini moja ndio list iliyokufikia wewe kutoka na zile refferences za wale Baba/babu zako, ila kiukweli tuna wanawake wengi wa dini zote, kutoka mikoa yote, walishiriki kikamilifu, ila hakuna mtu yoyote aliyehadithia ushiriki wao, hivyo mchango wao kutooneka, kutojulikana, kutotambulika, hivyo kupelekea mchango wa wanawake katika kupigania uhuru wa Tanganyika, kuonekana kana kwamba ni watu wa dini fulani ndio walijitoa zaidi kuliko dini nyengine?.

Hao wengine usiowaona kwenye orodha yangu mimi siwajui.

Ikiwa wewe unawajua au mwingine anawafahamu atuwekee hapa.

Hapana haja ya uzi mpya huu umekaa vyema.
 
Mkuu Maalim Mohamed Said, kwa vile Tanganyika ni kubwa, na uhuru umepiganiwa maeneo mbalimbali, kote uhuru, ulikopiganiwa kuna wanaume na wanawake. Ila wanawake wa baadhi ya maeneo, wanabahati angalau kuna watu wa kuwataja, lakini wanawake wa baadhi ya sehemu hawana bahati ya kutajwa popote, hivyo majina yao hayatajwa popote.
Hapana haja ya uzi mpya huu umekaa vyema.
Maadam maudhui ya bandiko hili ni wanawake wa Tanzania ambao ni presidential materiál, hoja ya mchango wa wanawake katika kupigania uhuru wa Tanganyika ni something else na inahitaji bandiko lake.
P
 
Hizo ni tabia za KICHACHAWA na tabia za nyinyi CHAWA ni kuwahadaa maboss wenu kuwa mnawapenda kwa kuwaandalia sherehe kama hizi!!!
Mkuu Bulesi, nimesema wazi kabisa kuwa sherehe za birthday ni sherehe za kizungu sisi watu wa bushi tulikuwa hatuzifanyi, lakini sasa kutokana na maendeleo nasi sasa tunazifanya. Kumfanyia bosi, wife, wazazi, watoto a surprise party, ni ishara ya upendo na sio uchawa, ila pia naomba kukiri, the dividing line between upendo wa dhati na uchawa is very thin, kama ilivyo mwanaume kumtokea demu bomba mwenye sura nzuri na bonge la shape na kumwambia "I love You," kuwa unampenda na umemzimikia kwake umekufa umeoza, the dividing line between hiyo I love you yako yako kama ni love kweli na umempenda kwa dhati au ni lust tuu unamtamani umduu tuu, is very thin, with naked eyes you just can't tell, ila sisi wa jicho la tatu can!. Najitolea mfano mimi mwenyewe, ikitokea nikamsifia Samia kwa lolote very genuine, halafu ukaniita chawa utakuwa ni unanionea kwasababu kumsifu sikuanza leo!.
Angalia tarehe za mabandiko haya...
Hivyo kwa mtu kama mimi kumtakia Rais Samia Happy Birthday, ni bonafide Happy Birthday na sio uchawa!.
Happy Birthday Rais Mama Samia!.
Paskali.
 
Leo ni Siku ya Wanawake Duniani.
Nawatakia Wanawake Wote, maadhimisho mema ya Siku ya Wanawake Duniani.

Paskali.
 
Wanabodi,

Leo ni Siku ya Wanawake Duniani, katika safari ya kuelekea usawa wa kijinsia, kuna wanawake wengi wenye sifa na uwezo, lakini wamenyimwa fursa za kushika nafasi za juu kisiasa kutokana na nyingi ya nafasi hizo, kuhodhiwa na wanaume, katika kitu kinachoitwa "mfumo dume!"

Swali ni je, nafasi hizo za juu kisiasa zimeshikwa na wanaume kwa sababu hatuna wanawake wenye sifa, au zimeendelea kushikwa na wanaume kwa sababu ya mfumo dume tuu, nikimaanisha wanawake wenye sifa wapo, lakini hawajateuliwa kushika nafasi hizo?

Kufuatia kilio cha muda mrefu cha wanawake kunyimwa fursa, je ni kweli tunao wanawake wenye sifa na uwezo wa kutupeleka kwenye 50/50?. Hebu na tuanzie na wanawake wenye sifa za urais, je tunao?

Hebu tuwakumbuke the top ten female politicians in Tanzania, na nafasi wanazoshika! Je, wamefikaje hapo, kwa kupanda wenyewe, au wamebebwa ndipo wakafika hapo? Je, wana sifa za urais?
  1. Top No.1 ni Mhe. Samia Suluhu Hassan.
    Huyu mama ni very powerful in Zanzibar na miongoni mwa wanawake wachache wa shoka kutoka Zanzibar. Ni Mjumbe wa CC na NEC wa CCM.
    Very high profile woman from Zanzibar, baada ya kuhudumu kwa miaka 10 kwenye Baraza la Wawakilishi, ameingia Bunge la JMT for 5 years sasa ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamo wa Rais. Ndiye alikuwa Makamo Mwenyekiti wa Bunge la Katiba. Huyu ni presidential material, sasa ni kumuandaa kwanza kuwa rais wa Zanzibar kwa kumpumzisha Dr. Shein kipindi chake cha pili, kisha 2020 aje urais wa Muungano, ili hili ifanyike, itabidi, CCM iachane na ule utaratibu wake wa two terms za urais, kwasababu kusubiria 2025, kwa huyu mama itakuwa too little too late, age itakuwa imemtupa mkono.
  2. Gutrude Mongela-Huyu alikuwa Mwenyekiti wa ule mkutano maarufu wa Wanawake wa Beijing, na Spika wa Kwanza wa Bunge la Afrika. Huyu pia ni Mwanamke wa shoka. Yeye alifika kote huko kwa deserving. Ni presidential material, ila kwa siasa zetu za Tanzania, she is already a spent force!, age sio rafiki.
  3. Mhe. Anna Makinda- Huyu ni Spika wa Bunge la Tanzania- ameupata usipika kwa kubebwa na mbeleko ya jinsia, ukimlinganisha na spika Sitta aliyemtangulia, Mama Makinda anaonekana wazi amepwaya kwenye Uspika!, lakini likija suala la Urais wa JMT, Mama Makinda ni presidential material, anauweza sana urais, kwa sababu ni mtu mwenye msimamo usioyumba!. Maamuzi ya ki Raisi wa nchi, hayahitaji mijadala kama maamuzi ya Bunge, hivyo Mama Makinda ni predidential material.
  4. Dr. Asha Rose Migiro- Huyu ni top most high profile woman from Tanzania kwenye International arena, ni mwanamke wa kwanza kushika nafasi ya Deputy SG wa Umoja wa Mataifa akimsaidia Ban Ki Moon, kwa sasa ni mjumbe wa CC ya CCM, na waziri wa sheria wa Tanzania. Amefika kote alikofika kwa deserving ya brain power, ndio the one and only female kupata 1st Class ya Sheria ya UDSM!. Lakini tukija kwenye u presidential material, she is presidential material interms of brain power, but she lack Presidential drive, anachotakiwa kufanya sio kusubiri Chama ndio kimpush, anatakiwa kuonyesha nia na kujitokeza, sio lazima kutangaza kuwa anautaka urais, ili asije kuingia vitani na wasaka urais, bali kujitokeza hadharani kusema yeye ni presidential material, ana sifa na uwezo, wakati wa kutangaza ukifika, atafikia maamuzi au atangaze kujitupa kwenye kinyanganyiro au laa!, na sio kukaa kimya kuisubiria mbeleko ya CCM kubebea watu kwa utaratibu ule wa "sasa ni zamu ya mwanamke!".
  5. Prof. Anna Tibaijuka
  6. Anna Abdallah
  7. Mary Nagu
  8. Hellen Kijo Bisimba
  9. Dr. Stagomena Tax Bamwenda
  10. tuendelee kuwataja wengine.
Natoa pongezi kwa wanawake hawa, na kufuatia wengi kupata nafasi hizo kwa upendeleo uwe ni wa mbeleko ya viti maalum, au affirmative action ya jinsia, kote huko ni kubwebwa! Ule msemo wa wanawake wakiwezeshwa wanaweza, nao ni mbeleko tu, hivyo kuelekea October, 2015, ili wanawake waonyeshe uwezo kuwa wanaweza, sasa ni wakati wa hao wanawake wenye uwezo, wajitokeze hadharani tuwaone kuanzia kwenye kugombea nafasi ya urais!, bado sijamsikia mwanamke yoyote akijitaja anaweza!, na atajitokeza, ukiachilia hawa wanaotajwa tajwa tu, huku wenyewe wamejificha jikoni.

Natoa wito kwa wanawake, kama ni kweli mna uwezo, jitokezeni kwenye urais, ili hata msiposimamishwa, angalau 2015, tuwe na makamo rais mwanamke, au Waziri Mkuu Mwanamke!

Paskali.
Hizo ni bangi na "paradigm" ya kisukuma zimechanganyika.

Toka lini msukuma akakubali kwenye nafsi yake kuongozwa na mwanamke?

kwanza anaesikia sauti zinamsemesha huyu "schizophrenic". Una matatizo makubwa sana ya "psychiatric" .Muone daktari wa machizi mapema sana.
Wasukuma watakuja kupinga humu. Wa kwanza atakuwa Pascal Mayalla maana kishaweka nyuzi za kujaza watu ujinga kuhusu mama. Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, Sauti Imeshauri Mama Amkabidhi Kwanza Dr. Mwinyi, Urais wa JMT, Ndipo Aje Mwanamke! Fala sana yule jamaa.
Najisikia very proud kuwa Msukuma, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wachapa kazi, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wenye roho nzuri, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wenye upendo na kuongoza kupenda. Ndilo kabila linaloongoza kwa watu wema, wapole, wanyenyekevu, wastahimilivu, wenye heshima. Licha ya wewe kunitukana humu kila uchao, mimi sijawahi kukutukana, naendelea kukuheshimu and besides everything, I always love you.
Karibu mitaa hii, ushuhudie huyu Msukuma Pasco, asivyo kubali kuongozwa na Mwanamke!
P.
 
Back
Top Bottom