Siku ya Wanawake Duniani: Je, tuna Wanawake wenye sifa za Presidential Material?

Wanabodi,
Kufuatia kilio cha muda mrefu cha wanawake kunyimwa fursa, je ni kweli tunao wanawake wenye sifa na uwezo wa kutupeleka kwenye 50/50?. Hebu na tuanzie na wanawake wenye sifa za urais, je tunao?

Hebu tuwakumbuke the top ten female politicians in Tanzania, na nafasi wanazoshika! Je, wamefikaje hapo, kwa kupanda wenyewe, au wamebebwa ndipo wakafika hapo? Je, wana sifa za urais?
  1. Top No.1 ni Mhe. Samia Suluhu Hassan.
    Huyu mama ni very powerful in Zanzibar na miongoni mwa wanawake wachache wa shoka kutoka Zanzibar. Ni Mjumbe wa CC na NEC wa CCM.
    Very high profile woman from Zanzibar, baada ya kuhudumu kwa miaka 10 kwenye Baraza la Wawakilishi, ameingia Bunge la JMT for 5 years sasa ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamo wa Rais. Ndiye alikuwa Makamo Mwenyekiti wa Bunge la Katiba. Huyu ni presidential material, sasa ni kumuandaa kwanza kuwa rais wa Zanzibar kwa kumpumzisha Dr. Shein kipindi chake cha pili, kisha 2020 aje urais wa Muungano, ili hili ifanyike, itabidi, CCM iachane na ule utaratibu wake wa two terms za urais, kwasababu kusubiria 2025, kwa huyu mama itakuwa too little too late, age itakuwa imemtupa mkono.
Leo nazidurufu baadhi ya "kauli umba", ni zile kauli za kusema jambo ambalo halipo, lakini baada ya jambo hilo kusemwa, kauli hiyo inaliumba hilo jambo linakuja kutokea kweli.

P
 
Kufuatia kilio cha muda mrefu cha wanawake kunyimwa fursa, je ni kweli tunao wanawake wenye sifa na uwezo wa kutupeleka kwenye 50/50?. Hebu na tuanzie na wanawake wenye sifa za urais, je tunao?

Hebu tuwakumbuke the top ten female politicians in Tanzania, na nafasi wanazoshika! Je, wamefikaje hapo, kwa kupanda wenyewe, au wamebebwa ndipo wakafika hapo? Je, wana sifa za urais?
  1. Top No.1 ni Mhe. Samia Suluhu Hassan.
    Huyu mama ni very powerful in Zanzibar na miongoni mwa wanawake wachache wa shoka kutoka Zanzibar. Ni Mjumbe wa CC na NEC wa CCM.
    Very high profile woman from Zanzibar, baada ya kuhudumu kwa miaka 10 kwenye Baraza la Wawakilishi, ameingia Bunge la JMT for 5 years sasa ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamo wa Rais. Ndiye alikuwa Makamo Mwenyekiti wa Bunge la Katiba. Huyu ni presidential material, sasa ni kumuandaa kwanza kuwa rais wa Zanzibar kwa kumpumzisha Dr. Shein kipindi chake cha pili, kisha 2020 aje urais wa Muungano, ili hili ifanyike, itabidi, CCM iachane na ule utaratibu wake wa two terms za urais, kwasababu kusubiria 2025, kwa huyu mama itakuwa too little too late, age itakuwa imemtupa mkono.
Natoa wito kwa wanawake, kama ni kweli mna uwezo, jitokezeni kwenye urais, ili hata msiposimamishwa, angalau 2015, tuwe na makamo rais mwanamke, au Waziri Mkuu Mwanamke!

Paskali.
Tanzania ilipata VP, mwanamke kwa mara ya kwanza, baada ya uchaguzi wa 2015, kuna wengi wanadhani ilijitokea tuu, Tanzania kuwa na VP mwanamke!, hawajui kuwa huo u VP wa mwanamke, kuna watu wenye kauli zenye powers za kuumba, walitoa kauli za kutaka tupate VP mwanamke, toka Machi 8, 2015!.

P
 
Wanabodi,

Hebu tuwakumbuke the top ten female politicians in Tanzania, na nafasi wanazoshika! Je, wamefikaje hapo, kwa kupanda wenyewe, au wamebebwa ndipo wakafika hapo? Je, wana sifa za urais?
  1. Top No.1 ni Mhe. Samia Suluhu Hassan.
    Huyu mama ni very powerful in Zanzibar na miongoni mwa wanawake wachache wa shoka kutoka Zanzibar. Ni Mjumbe wa CC na NEC wa CCM.
    Very high profile woman from Zanzibar, baada ya kuhudumu kwa miaka 10 kwenye Baraza la Wawakilishi, ameingia Bunge la JMT for 5 years sasa ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamo wa Rais. Ndiye alikuwa Makamo Mwenyekiti wa Bunge la Katiba. Huyu ni presidential material, sasa ni kumuandaa kwanza kuwa rais wa Zanzibar kwa kumpumzisha Dr. Shein kipindi chake cha pili, kisha 2020 aje urais wa Muungano, ili hili ifanyike, itabidi, CCM iachane na ule utaratibu wake wa two terms za urais, kwasababu kusubiria 2025, kwa huyu mama itakuwa too little too late, age itakuwa imemtupa mkono.
Natoa wito kwa wanawake, kama ni kweli mna uwezo, jitokezeni kwenye urais, ili hata msiposimamishwa, angalau 2015, tuwe na makamo rais mwanamke, au Waziri Mkuu Mwanamke!

Paskali.
Huyu Jamaa ana uchu wa Madaraka
Nimehudumu kwenye media kwa miaka 30, niliwahi gombea nafasi yoyote ya uongozi hadi useme nina uchu?
kajipendekeza kwa Magufuli mpaka Kafa
Kwenye kipindi cha JPM, niliwahi gombea chochote?.
Kaanza kwa Mama bado hali ni tete
Wengi wenu mmemfahamu Mama Samia, baada ya kuwa Rais wa JMT, angalia tarehe ya bandiko hili ni la lini na nilizungumza nini kumhusu Samia!, Jee nilikuwa najipendekeza kwa Samia tangu 2015?.
P
 
Natoa wito kwa wanawake, kama ni kweli mna uwezo, jitokezeni kwenye urais, ili hata msiposimamishwa, angalau 2015, tuwe na makamo rais mwanamke, au Waziri Mkuu Mwanamke!

Paskali.
Tunapoelekea kuadhimisha siku ya wanawake duniani, tunaendelea kuwasisitiza wanawake wenye uwezo wa uongozi wa kisiasa, jitokezeni mgombee msisubiri viti maalum!.
Hongera sana wanawake wote duniani.
P
 
Wanabodi,

Leo ni Siku ya Wanawake Duniani, katika safari ya kuelekea usawa wa kijinsia, kuna wanawake wengi wenye sifa na uwezo, lakini wamenyimwa fursa za kushika nafasi za juu kisiasa kutokana na nyingi ya nafasi hizo, kuhodhiwa na wanaume, katika kitu kinachoitwa "mfumo dume!"

Swali ni je, nafasi hizo za juu kisiasa zimeshikwa na wanaume kwa sababu hatuna wanawake wenye sifa, au zimeendelea kushikwa na wanaume kwa sababu ya mfumo dume tuu, nikimaanisha wanawake wenye sifa wapo, lakini hawajateuliwa kushika nafasi hizo?

Kufuatia kilio cha muda mrefu cha wanawake kunyimwa fursa, je ni kweli tunao wanawake wenye sifa na uwezo wa kutupeleka kwenye 50/50?. Hebu na tuanzie na wanawake wenye sifa za urais, je tunao?

Hebu tuwakumbuke the top ten female politicians in Tanzania, na nafasi wanazoshika! Je, wamefikaje hapo, kwa kupanda wenyewe, au wamebebwa ndipo wakafika hapo? Je, wana sifa za urais?
  1. Top No.1 ni Mhe. Samia Suluhu Hassan.
    Huyu mama ni very powerful in Zanzibar na miongoni mwa wanawake wachache wa shoka kutoka Zanzibar. Ni Mjumbe wa CC na NEC wa CCM.
    Very high profile woman from Zanzibar, baada ya kuhudumu kwa miaka 10 kwenye Baraza la Wawakilishi, ameingia Bunge la JMT for 5 years sasa ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamo wa Rais. Ndiye alikuwa Makamo Mwenyekiti wa Bunge la Katiba. Huyu ni presidential material, sasa ni kumuandaa kwanza kuwa rais wa Zanzibar kwa kumpumzisha Dr. Shein kipindi chake cha pili, kisha 2020 aje urais wa Muungano, ili hili ifanyike, itabidi, CCM iachane na ule utaratibu wake wa two terms za urais, kwasababu kusubiria 2025, kwa huyu mama itakuwa too little too late, age itakuwa imemtupa mkono.
  2. Gutrude Mongela-Huyu alikuwa Mwenyekiti wa ule mkutano maarufu wa Wanawake wa Beijing, na Spika wa Kwanza wa Bunge la Afrika. Huyu pia ni Mwanamke wa shoka. Yeye alifika kote huko kwa deserving. Ni presidential material, ila kwa siasa zetu za Tanzania, she is already a spent force!, age sio rafiki.
  3. Mhe. Anna Makinda- Huyu ni Spika wa Bunge la Tanzania- ameupata usipika kwa kubebwa na mbeleko ya jinsia, ukimlinganisha na spika Sitta aliyemtangulia, Mama Makinda anaonekana wazi amepwaya kwenye Uspika!, lakini likija suala la Urais wa JMT, Mama Makinda ni presidential material, anauweza sana urais, kwa sababu ni mtu mwenye msimamo usioyumba!. Maamuzi ya ki Raisi wa nchi, hayahitaji mijadala kama maamuzi ya Bunge, hivyo Mama Makinda ni predidential material.
  4. Dr. Asha Rose Migiro- Huyu ni top most high profile woman from Tanzania kwenye International arena, ni mwanamke wa kwanza kushika nafasi ya Deputy SG wa Umoja wa Mataifa akimsaidia Ban Ki Moon, kwa sasa ni mjumbe wa CC ya CCM, na waziri wa sheria wa Tanzania. Amefika kote alikofika kwa deserving ya brain power, ndio the one and only female kupata 1st Class ya Sheria ya UDSM!. Lakini tukija kwenye u presidential material, she is presidential material interms of brain power, but she lack Presidential drive, anachotakiwa kufanya sio kusubiri Chama ndio kimpush, anatakiwa kuonyesha nia na kujitokeza, sio lazima kutangaza kuwa anautaka urais, ili asije kuingia vitani na wasaka urais, bali kujitokeza hadharani kusema yeye ni presidential material, ana sifa na uwezo, wakati wa kutangaza ukifika, atafikia maamuzi au atangaze kujitupa kwenye kinyanganyiro au laa!, na sio kukaa kimya kuisubiria mbeleko ya CCM kubebea watu kwa utaratibu ule wa "sasa ni zamu ya mwanamke!".
  5. Prof. Anna Tibaijuka
  6. Anna Abdallah
  7. Mary Nagu
  8. Hellen Kijo Bisimba
  9. Dr. Stagomena Tax Bamwenda
  10. tuendelee kuwataja wengine.
Natoa pongezi kwa wanawake hawa, na kufuatia wengi kupata nafasi hizo kwa upendeleo uwe ni wa mbeleko ya viti maalum, au affirmative action ya jinsia, kote huko ni kubwebwa! Ule msemo wa wanawake wakiwezeshwa wanaweza, nao ni mbeleko tu, hivyo kuelekea October, 2015, ili wanawake waonyeshe uwezo kuwa wanaweza, sasa ni wakati wa hao wanawake wenye uwezo, wajitokeze hadharani tuwaone kuanzia kwenye kugombea nafasi ya urais!, bado sijamsikia mwanamke yoyote akijitaja anaweza!, na atajitokeza, ukiachilia hawa wanaotajwa tajwa tu, huku wenyewe wamejificha jikoni.

Natoa wito kwa wanawake, kama ni kweli mna uwezo, jitokezeni kwenye urais, ili hata msiposimamishwa, angalau 2015, tuwe na makamo rais mwanamke, au Waziri Mkuu Mwanamke!

Paskali.
Leo ndio siku yenyewe ya wanawake duniani, hongera sana kwa wanawake wote duniani akiwemo Mwanamke huyu!.
P.
 
Wanabodi,

Leo ni Siku ya Wanawake Duniani, katika safari ya kuelekea usawa wa kijinsia, kuna wanawake wengi wenye sifa na uwezo, lakini wamenyimwa fursa za kushika nafasi za juu kisiasa kutokana na nyingi ya nafasi hizo, kuhodhiwa na wanaume, katika kitu kinachoitwa "mfumo dume!"

Swali ni je, nafasi hizo za juu kisiasa zimeshikwa na wanaume kwa sababu hatuna wanawake wenye sifa, au zimeendelea kushikwa na wanaume kwa sababu ya mfumo dume tuu, nikimaanisha wanawake wenye sifa wapo, lakini hawajateuliwa kushika nafasi hizo?
Paskali.
Another lady to sit the chair Naaah!! Big NOO tushaona ya kuona enough is enough wako pale kama pambo tu.
Mkuu Mazigazi , huku ni kuwatukana akiwemo aliyepo!. Hoja hii ni ya 8 years ago, walikuwepo wenye uwezo na bado wapo akiwemo Dr. TAM
That job since the beginning disgned for men,
Huu ni ubaguzi!. Hakuna kazi za kiume na kike!.
Women for showcasing tu not their suitable position msije sema Nina stereotypes hapana huo ndio uhalisia.
This is typically stereotype!.
Madam speaker noo big NOO!!
Kwa hesabu zangu, at the moment, she is the one and only woman anayeweza kuwa mgombea wa kwanza wa urais mwanamke kupitia CCM, and that is uchaguzi wa 2030, only if sauti hii ni ya kwake YEYE Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke
hivyo kitendo cha wewe kusema "Madam speaker noo big NOO!!", kinanikata maini!.
P
 
Wanabodi,

Leo ni Siku ya Wanawake Duniani, katika safari ya kuelekea usawa wa kijinsia, kuna wanawake wengi wenye sifa na uwezo, lakini wamenyimwa fursa za kushika nafasi za juu kisiasa kutokana na nyingi ya nafasi hizo, kuhodhiwa na wanaume, katika kitu kinachoitwa "mfumo dume!"

Swali ni je, nafasi hizo za juu kisiasa zimeshikwa na wanaume kwa sababu hatuna wanawake wenye sifa, au zimeendelea kushikwa na wanaume kwa sababu ya mfumo dume tuu, nikimaanisha wanawake wenye sifa wapo, lakini hawajateuliwa kushika nafasi hizo?

Kufuatia kilio cha muda mrefu cha wanawake kunyimwa fursa, je ni kweli tunao wanawake wenye sifa na uwezo wa kutupeleka kwenye 50/50?. Hebu na tuanzie na wanawake wenye sifa za urais, je tunao?

Natoa wito kwa wanawake, kama ni kweli mna uwezo, jitokezeni kwenye urais, ili hata msiposimamishwa, angalau 2015, tuwe na makamo rais mwanamke, au Waziri Mkuu Mwanamke!
Paskali.
Japo swali hili ni la zamani, lakini still liko valid, kusinge tokea lile tukio, asingekuwa!. Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi wa serikali za mitaa na mwakani uchaguzi Mkuu, natoa wito, wanawake wote wenye uwezo, jitokezeni kwa wingi kuonyesha uwezo wenu kwa kugombea, nawahakikishia, Watanzania tutawachagua!.

Mimi Paskali wa Jeiefu, ninawatakia wanawake wote maandalizi mema ya siku yao ya wanawake duniani hapo kesho.
Paskali
 
Mkuu JME, nakubaliana na wewe, Mhe. Halima Mdee, amesimama mwenyewe, japo mwanzo alianza kwa kubebwa na mbeleko ya jinsia kupitia viti maalum, ukibebwa bebeka! alibebwa, akabebeka na sasa anajijeba mwenyewe which is very good! Na nikimuangalia pia ni presidential material, ila kwa mfumo dume uliomo Chadema, CUF na NCCR mageuzi, does she stand any chance kuchaguliwa kuwa mgombea wa UKAWA?!

Pasco
Rais msagaji? Big no. Tuwe serious na haya mambo. Maisha ya Halima Mdee siyo kitu cha kuigwa na kizazi kijacho
 
Mkuu Stuxnet, hoja yako hii ni kosa la kitu kinachoitwa unnecessary invasion of the right to privacy ya mtu, kwa kuleta dhana hasi dhanifu.

Kwenye presidential material tunaangalia uwezo wa mtu kuwa rais wa JMT na sio tabia zake binafsi kwa kuingilia privacy yake!.

Kwa Ulaya sawa, lakini kwa Utamaduni wa Afrika nakuhakikishia Haiwezekani mtu mwenye maadili ya LGBTQ awe kiongozi mkuu hadi kuwa Rais.
 
Kuna kitu nakijua kuhusu hili, naomba nikuhakikishie sio kwa ulaya tuu, hata Tanzania watu hao wapo na tunawajua ila hatuwataji ili tusiingilie rights zao za privacy, there is nothing impossible under the sun.
P,
 
Wanabodi,

Hebu tuwakumbuke the top ten female politicians in Tanzania, na nafasi wanazoshika! Je, wamefikaje hapo, kwa kupanda wenyewe, au wamebebwa ndipo wakafika hapo? Je, wana sifa za urais?
  1. Top No.1 ni Mhe. Samia Suluhu Hassan.
    Huyu mama ni very powerful in Zanzibar na miongoni mwa wanawake wachache wa shoka kutoka Zanzibar. Ni Mjumbe wa CC na NEC wa CCM.
    Very high profile woman from Zanzibar, baada ya kuhudumu kwa miaka 10 kwenye Baraza la Wawakilishi, ameingia Bunge la JMT for 5 years sasa ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamo wa Rais. Ndiye alikuwa Makamo Mwenyekiti wa Bunge la Katiba. Huyu ni presidential material, sasa ni kumuandaa kwanza kuwa rais wa Zanzibar kwa kumpumzisha Dr. Shein kipindi chake cha pili, kisha 2020 aje urais wa Muungano, ili hili ifanyike, itabidi, CCM iachane na ule utaratibu wake wa two terms za urais, kwasababu kusubiria 2025, kwa huyu mama itakuwa too little too late, age itakuwa imemtupa mkono.

  2. Paskali.

  1. Maza uwezo ni mdogo sn
    It's not true, anauwezo mkubwa sana na ameisha prove kwa maneno na matendo.
    P
 
Wapo sema mifumo iliyopo ni ya upendeleo.
Kwamba hadi uwe mtu wa kujipendekeza na kuwa chawa.
Uwe tayari kujitoa hata utu wako ?!

Know who badala ya know how
 
Wanabodi,

Leo ni Siku ya Wanawake Duniani,

Hebu tuwakumbuke the top ten female politicians in Tanzania, na nafasi wanazoshika! Je, wamefikaje hapo, kwa kupanda wenyewe, au wamebebwa ndipo wakafika hapo? Je, wana sifa za urais?
  1. Top No.1 ni Mhe. Samia Suluhu Hassan.
    Huyu mama ni very powerful in Zanzibar na miongoni mwa wanawake wachache wa shoka kutoka Zanzibar. Ni Mjumbe wa CC na NEC wa CCM.
    Very high profile woman from Zanzibar, baada ya kuhudumu kwa miaka 10 kwenye Baraza la Wawakilishi, ameingia Bunge la JMT for 5 years sasa ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamo wa Rais. Ndiye alikuwa Makamo Mwenyekiti wa Bunge la Katiba. Huyu ni presidential material, sasa ni kumuandaa kwanza kuwa rais wa Zanzibar kwa kumpumzisha Dr. Shein kipindi chake cha pili, kisha 2020 aje urais wa Muungano, ili hili ifanyike, itabidi, CCM iachane na ule utaratibu wake wa two terms za urais, kwasababu kusubiria 2025, kwa huyu mama itakuwa too little too late, age itakuwa imemtupa mkono.
Natoa wito kwa wanawake, kama ni kweli mna uwezo, jitokezeni kwenye urais, ili hata msiposimamishwa, angalau 2015, tuwe na makamo rais mwanamke, au Waziri Mkuu Mwanamke!

Paskali.
Wanabodi, hili ni bandiko la 2015, 9 years back, watu tuliuzungumzia urais wa Samia 2025 na tulisema kitu ambacho ni cha kweli na huo ndio ukweli wenyewe.
P
 
Leo ni siku ya wanawake duniani, hizi ni salaam zangu za siku hii, Siku ya Wanawake Duniani: Wanawake Acheni Kubwetekea Kubebwa. Viti Maalumu ni Kubebwa, Je Tuvifute. Wanawake Mjibebe?, Au Mnapenda Uroda wa Kubebwa?.

Nawatakia wanawake wote wa TiZii
Heri ya siku ya Wanawake Duniani.

Tena, by the way, naombeni mnipe pole, tumempoteza mmoja wa wanawake muhimu sana kwenye maisha yangu, tumempoteza mama mzaa Chema wangu, ameitwa kwa Muumba wake, akiwa Babati, tunampumzisha kwenye makao yake ya milele siku ya Jumatatu katika kijiji cha Gendi kwenye malalo ya ukoo wao.

View: https://youtu.be/oezcYCl60OI?si=MI6vvCGOptf82N8b

RIP Mama MKwe wangu.

Paskali
 
Back
Top Bottom