DSN
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 2,837
- 1,679
Pasco leo ni siku ya wanawake...yani kinamama. Ni sawa wamejitahidi sana kwenye sekta mbalimbali japo kuna Wanawake wako kwenye sekta za uchumi, biashara na maofisi mbalimbali kimaamuzi.
Thread yako imewahi sana kwa kuwa kama Taifa,tuna historia yetu ya kiutamaduni.Kwa post ya Uraisi hakika kunaitajika miaka 25 ijayo mbele nikimaanisha binti yangu mwenye umri wa miaka mitano sasa ambae kwa sasa kizazi changu ndicho kinaanza kuwaanda kutambua mfumo shirikiano kati ya mwanaume na mwanamke ukizinangatia kwenye uwezo wa mtu na si jinsia ya mtu.
Utamaduni wa kizazi ongozi cha Tanzania wa sasa ni kile cha mfumo DUME....ndio maana unasema mama Makinda alibebwa...na ni kweli na kama si HAIBA [PERSONALITY] ya Rais JK ya ukaribu wake na kina Mama ambao umemjenga kuwaona kuwa nao wanastahiki [Huku kwetu wanatafsiri yao-ambayo ndiyo hiyo tunaweza kusema mfumo dume] kuwa viongozi.
Hivyo mindset za wanawake wenyewe bado ni zile zile za kuona Mwanaume ndio kila kitu, japo wako wachache sana ambao wameanza kuwa na mwamko wakutambua kuwa wanaweza kufanya mashirikiano na jinsia nyingine pasipo kuona kwa jicho la tegemezi.
Leo hii unaona kwenye magazeti yenye vichwa vya habari MSICHANA AONGOZA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE, SITA AMA CHUO..Sasa kama news room kuna mindset za hivyo tegemea nini?
Bado sana sana hata mimi nakubali bado sana!!!!Siku Mwanamke akitoka na Mume wake, au Boyfriend na kushop kwa pesa yake binafsi pasipo manunguniko, wala hisia zozote za kubeba jukumu lisilo lake, wala kuibuka pia na hisia kuwa aliyepaswa kufanyiwa hiyo shopping ni yeye na si mwanaume basi ndipo hiyo HIGH POST watastahiki.[Kwa point hii simaanishi Vidumu, na Vingasti au Kina Mama Benzi, namaanisha well matured grown up, understood and developed in mind and spiritual].