Habari za muda huu ndugu wanajukwaa
Nimefuatilia kwa shamrashamra za siku ya wanawake duniani ambayo kitaifa imefanyika mkoani Arusha na mgeni rasmi alikua mh. Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
Wanawake wamejisifia sana,wanasema wameweza mambo mengi mpaka kuendesha mitambo mikubwa( bulldozer) nk
Ajabu nimeshangaa majukwaa ya watu MUHIMU wamejaa wanaume kibao
Pili hata MC mkuu wa shuhuli ni mwanaume
Kubwa kuliko walialikwa viongozi mbalimbali wakidini na wameifanya maombi lakini ajabu bado hakuna hata kiongozi wa kiroho mwanamke aliyeongoza maombi. Hilo linathibitisha kwamba hiyo 50/50 wanayoihubiri hawataweza
Wanaume waacheni wanawake wakajadiliane mambo yao kwenye majukwaa tuone wakiwa peke yao hawatapigana?