Siku ya wanawake duniani na maajabu yake Tanzania

Rigidity

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2024
Posts
391
Reaction score
482
Habari za muda huu ndugu wanajukwaa

Nimefuatilia kwa shamrashamra za siku ya wanawake duniani ambayo kitaifa imefanyika mkoani Arusha na mgeni rasmi alikua mh. Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania

Wanawake wamejisifia sana,wanasema wameweza mambo mengi mpaka kuendesha mitambo mikubwa( bulldozer) nk

Ajabu nimeshangaa majukwaa ya watu MUHIMU wamejaa wanaume kibao

Pili hata MC mkuu wa shuhuli ni mwanaume

Kubwa kuliko walialikwa viongozi mbalimbali wakidini na wameifanya maombi lakini ajabu bado hakuna hata kiongozi wa kiroho mwanamke aliyeongoza maombi. Hilo linathibitisha kwamba hiyo 50/50 wanayoihubiri hawataweza

Wanaume waacheni wanawake wakajadiliane mambo yao kwenye majukwaa tuone wakiwa peke yao hawatapigana?
 
Hizo bulldozer wanazoendesha zinawafanya waingie period hata mara 2 kwa mwezi.Dump Truck,Terex Truck,Excavator na Grader ni hatari kwa wanawake.
 
Back
Top Bottom