Siku ya wanawake duniani, pitia hapa tunawa-appreciate wanawake wa JF

Huyu mpendwa....
Niliona tutasumbuana nikakimbia. Mtoto hapitwi na baikoko
We utakuwa na allegy na vitu vizuri..Yani hili toto umeliacha kweli..Baikoko unamwambia achezee chumbani
 
We utakuwa na allegy na vitu vizuri..Yani hili toto umeliacha kweli..Baikoko unamwambia achezee chumbani
Toka anafungasha virago nimepoteza appetite nani asiyependa mazuri..

Hapo mwisho umenishauri ujue.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Hapo kwenye kupewa hela ndo pa muhimu zaidi.
kabisa wakiweza hapo mengine yatafuata
 
tunakupenda Daby yaan tunakupenda tu tukiongozwa na husna [emoji23] mm na sakayo wangu tupo nyuma yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…