Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,828
- 15,001
Huyu Ni mpendwa,Mpenzi au mpenzi mpendwa?Mzigua upo....heri ya wanawake duniani mpendwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Ni mpendwa,Mpenzi au mpenzi mpendwa?Mzigua upo....heri ya wanawake duniani mpendwa
Ok mm bado mtoto sijui maana ya kupumzika na kulalaWe unaelewaje mkuu kupumzika
Mkuu natania tu usiogope we mkubwa mpaka unamiliki tecno y 2Ok mm bado mtoto sijui maana ya kupumzika na kulala
Hahaaaa najua mkuu ni mautani tu, hata ww mkubwa hadi unamiliki simens na MotorolaMkuu natania tu usiogope we mkubwa mpaka unamiliki tecno y 2
Huyu mpendwa....Huyu Ni mpendwa,Mpenzi au mpenzi mpendwa?
Niweke kwenye wallet mbembeDuuuuh ww unawezana na Daby mchaga mwenzio mm mbembe nikuweke wap Kongo au
Simu ulizo taja nilipewa urithi kutoka kwa kaka wa mjini aliniletea huku kijijiniHahaaaa najua mkuu ni mautani tu, hata ww mkubwa hadi unamiliki simens na Motorola
We utakuwa na allegy na vitu vizuri..Yani hili toto umeliacha kweli..Baikoko unamwambia achezee chumbaniHuyu mpendwa....
Niliona tutasumbuana nikakimbia. Mtoto hapitwi na baikoko
Toka anafungasha virago nimepoteza appetite nani asiyependa mazuri..We utakuwa na allegy na vitu vizuri..Yani hili toto umeliacha kweli..Baikoko unamwambia achezee chumbani
kabisa wakiweza hapo mengine yatafuata[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Hapo kwenye kupewa hela ndo pa muhimu zaidi.
Nitajulia wapi ebu nijulisheasantee Daby si unajua vile tunavyokupenda mzee wa
njoo nitunze nipo tayariNakupenda,naomba nkutunze
Mkuu huu muda wa kuvuna maharage ujueSimu ulizo taja nilipewa urithi kutoka kwa kaka wa mjini aliniletea huku kijijini
bora umekuwa mkweliMi nimefeli kwenye hela
Haya banaToka anafungasha virago nimepoteza appetite nani asiyependa mazuri..
Hapo mwisho umenishauri ujue.
ana hela [emoji23]njoo nitunze nipo tayari
kwani ana maana ya kunitunzaje ? iutakuwa anazoana hela [emoji23]
Mmmh...tunakupenda Daby yaan tunakupenda tu tukiongozwa na husna [emoji23] mm na sakayo wangu tupo nyuma yake