cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Muone πutakomaπ€£π€£π€£π€£
financial services
Joanah
Binti wa zamani
Seran
cocastic
Happy International women's Day wherever you are.
You're my JF heroinesπ₯°
Mama mzazi, mama wa kambo na Mrs..Wakuu,
Leo siku ya wanawake Duniani, taja wanawake unaowakubali sana jukwaani, mimi wangu ni
1. Cute Wife - sasa ntgajiachaje ππ
2. Mama amon - si ndo nimesahau ID yako inavyoandikwa, ila nyuzi zako inaonyesha uko smart sanaaaaa. Nakupendaπ
3. Na wanawake woteeeee JF, msijifiche jamani tuone maandiko yenyu ya nguvu, ukipigwa spana niite tuje tuwachangieπ€£π€£π€£
Na wewe sema wako unaowakubali na useme kwanini, twende kaziππ
leo umesahau kutuma kitu au mpka nikukumbusheπ€Muone π
π nikumbusheeleo umesahau kutuma kitu au mpka nikukumbusheπ€
ndo tayali au niandike waraka?π€£π€£π nikumbushee
Thanks bro
ππ
Kitambo sana upo fresh lakini ππThanks bro
Happy women's day to you too π
thanks tajeer wa kigamboni mr vinππ₯°
Kwani Vincenzo jr ni mwanamkeπ
ππ andika warakando tayali au niandike waraka?π€£π€£
Mungu ni mwemaKitambo sana upo fresh lakini ππ
Thank youππfinancial services
Joanah
Binti wa zamani
Seran
cocastic
Happy International women's Day wherever you are.
You're my JF heroinesπ₯°
ngoj nikatume voice note maan ujumbe hautofika ipasavyo kwa njia ya maandishiπππ andika waraka
Title iwe waraka wa win kwa...
Kwani Vincenzo jr ni mwanamkeπ
Mashallah πngoj nikatume voice note maan ujumbe hautofika ipasavyo kwa njia ya maandishiπ