Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 12,340
- 16,383
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ndo super women1:Amber Lutty
2:Sanchi Sanchoka
3:Shamsa Ford
4:Menina
Celebrity hana pa kukaa,acha utani PascoWema Sepetu - Nadhani ndio Top Tanzanian Female Celebrity of all times!
Celebrity ni being popular, famous na sio pesa!.Celebrity hana pa kukaa,acha utani Pasco
Hapo celebrity ni huyo namba moja tu i bet ukichukua sample space ya watu50 ukawauliza kuhusu tausi na huyo hoyce hakuna wanaowafahamu.Wanabodi,
Tunaposherehekea siku ya wanawake duniani ambayo ndio leo, sio vibaya tukiwakumbuka na Tanzanians Top Women Celebrities ambao kwa namna moja au nyingine, wameling'arisha jina la Tanzania, ndani au nje ya mipaka yetu. Wengine hata kwa kufanya visa tuu na vituko, vilivyosaidia kuwapa shibe na kula yao ya kila siku, wale wanahabari wetu njaa, wa yale magazeti yetu pendwa, ambayo japo ni magazeti uchwala, lakini ndiyo yanayoongoza kwa circulation, na mwisho wa siku, au kutoa mafunzo kwa wasomaji, au burudani kwa wapenda udaku;
- Wema Sepetu - Nadhani ndio Top Tanzanian Female Celebrity of all times!
- Hoyce Temu
- Happyness (Millen) Magesse.
- Joyce Kiria
- Tausi Likokola
- Wengine endeleeni kuwataja.
Ma celeb hawa, wanastahili pongezi!
Pasco
Sijaongelea pesa pascoCelebrity ni being popular, famous na sio pesa!.
Dr. Shika ni celeb japo hana kitu na analala on streets vituo vya basi.
Celebrity ni mtu yoyote ambaye jamii ina m celebrate. Hata Matonya was a celebrity. Unajua alikuwa ana kaa wapi?.Sijaongelea pesa pasco
Nimehoji celebrity gani hana pa kulala?
Halafu hiyo tafsiri yako ya celebrity umeipata wapi?Fr Shika ni kama vile wewe unavyomuona Mwanaharakati huru
Duh...!, hata kama ingekuwa kweli, sasa ndio umeharibu!, umemharibia kwa kuitoa nje hii siri, hivyo umemponza na jina lake sasa limeondolewa, hateuliwi tena yeye, sasa atateuliwa mtu mwingine tuu ila ni mwanamke!.Habari wadau wa JF.
Mnakumbuka msiba wa DC Mtwara aliyefariki wiki iliyopita? Nauliza hivi kwa sababu Watanzania ni wepesi wa kusahau aidha kutokana na pilika za maisha au matukio kuwa mengi.
Inasemekana Rais Magufuli amemshirikisha Mama Samia kumtafuta mwanamke ktk tasnia ya bongo muvi au bongo flavour ili achukue nafasi ya DC Mtwara ambayo ipo wazi. Inadaiwa nafasi hiyo ilikuwa zitangazwe ktk uteuzi wa Jana wa waziri wa sheria na katiba wakati moja.
Inadaiwa pendekezo hilo la Mama Samia lilimfikia Magufuli jioni saa 12 Jana na haikujulikana kwanini Rais hakuambatanisha uteuzi wake wa Mwigulu na Mwanabongo Muvi Wema Sepetu. Hata hivyo ushauri huo wa Mama samia au Mama wa Busara unadaiwa kuridhiwa na Rais.
Stay tuned muda wowote kitu kitarushwa hewani.
Leo ni Siku ya Wanawake Duniani.Wanabodi,
Tunaposherehekea siku ya wanawake duniani ambayo ndio leo, sio vibaya tukiwakumbuka na Tanzanians Top Women Celebrities ambao kwa namna moja au nyingine, wameling'arisha jina la Tanzania, ndani au nje ya mipaka yetu. Wengine hata kwa kufanya visa tuu na vituko, vilivyosaidia kuwapa shibe na kula yao ya kila siku, wale wanahabari wetu njaa, wa yale magazeti yetu pendwa, ambayo japo ni magazeti uchwala, lakini ndiyo yanayoongoza kwa circulation, na mwisho wa siku, au kutoa mafunzo kwa wasomaji, au burudani kwa wapenda udaku;
- Wema Sepetu - Nadhani ndio Top Tanzanian Female Celebrity of all times!
- Hoyce Temu
- Happyness (Millen) Magesse.
- Joyce Kiria
- Tausi Likokola
- Wengine endeleeni kuwataja.
Ma celeb hawa, wanastahili pongezi!
Pasco
Mimi Paskali wa Jeiefu, ninawatakia wanawake wote maandalizi mema ya siku yao ya wanawake duniani hapo kesho.Wanabodi,

Pasco[/SIZE]