Siku ya Wanawake Duniani: Top Tanzanians women Celebrities

Hapo celebrity ni huyo namba moja tu i bet ukichukua sample space ya watu50 ukawauliza kuhusu tausi na huyo hoyce hakuna wanaowafahamu.
 
Celebrity ni being popular, famous na sio pesa!.
Dr. Shika ni celeb japo hana kitu na analala on streets vituo vya basi.
Sijaongelea pesa pasco
Nimehoji celebrity gani hana pa kulala?
Halafu hiyo tafsiri yako ya celebrity umeipata wapi?Fr Shika ni kama vile wewe unavyomuona Mwanaharakati huru
 
Sijaongelea pesa pasco
Nimehoji celebrity gani hana pa kulala?
Halafu hiyo tafsiri yako ya celebrity umeipata wapi?Fr Shika ni kama vile wewe unavyomuona Mwanaharakati huru
Celebrity ni mtu yoyote ambaye jamii ina m celebrate. Hata Matonya was a celebrity. Unajua alikuwa ana kaa wapi?.
U celebrity sio pesa, sio makazi, sio malazi!, ni umaarufu!.
Tofautisha umaarufu na umashuhuri!.

P
 
Duh...!, hata kama ingekuwa kweli, sasa ndio umeharibu!, umemharibia kwa kuitoa nje hii siri, hivyo umemponza na jina lake sasa limeondolewa, hateuliwi tena yeye, sasa atateuliwa mtu mwingine tuu ila ni mwanamke!.
P
 
Leo ni Siku ya Wanawake Duniani.
Nawatakia Wanawake Wote, maadhimisho mema ya Siku ya Wanawake Duniani.

Paskali.
 
Mimi Paskali wa Jeiefu, ninawatakia wanawake wote maandalizi mema ya siku yao ya wanawake duniani hapo kesho.
Paskali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…