Nawatakia wanawake wote wa TiZii
Heri ya siku ya Wanawake Duniani.
Tena, by the way, naombeni mnipe pole, tumempoteza mmoja wa wanawake muhimu sana kwenye maisha yangu, tumempoteza mama mzaa Chema wangu, ameitwa kwa Muumba wake, akiwa Babati, tunampumzisha kwenye makao yake ya milele siku ya Jumatatu katika kijiji cha Gendi kwenye malalo ya ukoo wao.